Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,447
Mi nasubiri Angel Nylon ani tafutie mchumba mzuri 🦅
Uzi uishie hapa, usipo jiongeza basi wewe sio expert humu jf.Kama tokea mwez wa 4 mpk leo upo unatafuta tuu. Bas kuna tatizo mahali
Labda upo selective sanaa au kuna namna unajiweka mtu mwenye nia anakata tamaa
Wapo boss wangu.... weka vigezoMi nasubiri Angel Nylon ani tafutie mchumba mzuri 🦅
Najuaga Sasa, zaidi ya mrefu, mwembamba, na cheupe ka wewe😂Wapo boss wangu.... weka vigezo
Cheichei.Najuaga Sasa, zaidi ya mrefu, mwembamba, na cheupe ka wewe😂
Una swaga bibie sema siwezi kutumia jamii forum vizuri kukucheck pmHolla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Usha anza ukorofi mida ya asubuhi 😂
Itikia salamu mkuu 😂Usha anza ukorofi mida ya asubuhi 😂
I still repeatItikia salamu mkuu 😂
Mortuary 😂I still repeat
Haya itikia salamu sasaUsha anza ukorofi mida ya asubuhi 😂
Ngoja aje, nimekaa pale 😂Haya itikia salamu sasa
Mrefu, mwembamba, cheupe yupo utapata lkn itikia salam hio cheichei tuone utapasi
Sijawa expert bado mkuu!!oya una kuwa kama sio expert bob?
Cheichei Angel NylonHaya itikia salamu sasa
Mrefu, mwembamba, cheupe yupo utapata lkn itikia salam hio cheichei tuone utapasi
Kijana kitu chepesi hicho, najua mpaka staftahi, sharubati.Ngoja aje, nimekaa pale 😂
toka mwezi wa nne, ndugu zako wapo kwenye radar.Sijawa expert bado mkuu!!
Nakujua wewe, umeuliza majirani 😂😂😂Kijana kitu chepesi hicho, najua mpaka staftahi, sharubati.
Wacha ubishi ati, mi niko vizuri kwa lugha 😂😂Nakujua wewe, umeuliza majirani 😂😂😂
Hapo umepigia simu wana wote wa pande hizo ili wakupe jibu 😂Wacha ubishi ati, mi niko vizuri kwa lugha 😂😂