A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Nasubiri tangazo lako eng.. niwe mgombea
Naona uje PM uchukue Fomu, maana sitegemei kutangaza dirisha kuwa wazi, wagombea wanachukua fomu kimya kimya, na mchujo inawagusa kwa upolee.

Jimbo langu halitaki kelele, litazidi idadi ya wagombea.
😂😂😂😂😂
 
Naomba ufanye reform kwenye kanuni za uchaguzi, ziwe za huru na wazi...

Mshindi ashinde Kwa uwazi, makufuli ya pm yafunguke kwanza
 
Sasa si had mchujo ufanyike, ndi natangaza wagombea, kura za maoni umepita?

Haki ikitendeka lazima niwepo na nishindie ushindi wakishindo...

Mbinu zote ninazo, Nia ninayo na sababu ninayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom