A New Collection of Nyerere's Work to be Published Next Week !

A New Collection of Nyerere's Work to be Published Next Week !

Kwenye uchumi ni totally failure na nyanja nyote zingine ni zaidi ya kufeli namkubali katika kuchonga tu, ni "orater" (mpiga porojo) mzuri sana na kujichekeshachekesha hovyooo.

inashangaza kuwa huna rangi tutakayokubainisha nayo. Uko ccm, bado mwalimu humkubali. Una hasara dada
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jibu lako hapa chini:-

On the other hand, without directly denying these external factors, many
foreign researchers, as well as the donor community and the international financial
institutions (World Bank and IMF) increasingly tended to emphasize internal
causes. They argued ever more strongly that the stagnation of Tanzania's
agriculture was mainly caused by wrong policies and internal economic structures
suffocating the development of agriculture.
Among the internal factors which
were most often emphasized was the already noted inefficiency of agricultural
parastatals resulting in delayed or no payments to producers, high marketing
margins and correspondingly lower share of producer prices in the final prices
(Ellis 1983, 1988).6 Other internal factors which were often referred to were
5 Both in absolute and percentage terms, the World Bank made the greatest cut in disbursements,
from US$97.9 million in 1982 to US$28.5 million in 1985, corresponding to minus 71 per cent
(Havnevik et al. 1988, 126).
6 A serious limitation of Ellis' studies in terms of explaining agricultural stagnation after 1970 is
that, in addition to dealing mainly with export crops, he does not provide data from before 1970.
On the other hand, with reference to data collected by Odegaard, Deborah Bryceson (1993, 239) has
shown that, at least for food crops, the marketing margins, i.e. the difference between the consumer
and producer price divided by the producer price, were considerably higher in the period 1964–72
Economic Liberalization and Smallholder Productivity in Tanzania 339
nepotism and rent-seeking by corrupt bureaucrats in the state and the parastatal
sector, ‘financial repression' and controlled and panterritorial prices which led to
‘price distortions' discouraging agricultural producers from an efficient allocation
of resources, and the development of an industrial sector which stagnated
due to its inefficiency and import dependency and became increasingly unable
to provide agricultural producers with incentive goods (e.g. Bevan et al. 1989;
Collier and Gunning 1999).
It is noteworthy that the counterproductive effects of villagization, which
both the World Bank and most bilateral donors had applauded in the mid-1970s,
were more rarely referred to. However, several studies indicate that villagization
was possibly the most important sole cause of agricultural stagnation in the
period from the mid-1970s to the mid-1980s. Large numbers of peasants were
disrupted from their known productive environment and moved to areas where
they did not know the quality and properties of the soil. In the old scattered
settlements, shifting cultivation had ensured conservation of the soil. The new
settlements necessarily implied a more intensive pressure on land resources and
soil degradation.
After villagization, an increasingly intensive cultivation pattern developed
around the villages, which could count several thousand inhabitants.7 The
average fallow period declined rapidly, while the smallholders did not have the
necessary resources to conserve land by using chemical fertilizer, and walking
distances to the fields increased as villagers tried to counterbalance the decline in
soil fertility by cultivating areas more remote to the villages.8 One study of five
villages in Mufindi district carried out in the early 1980s shows ‘a significant
and continuing fall in output per hectare of maize during the three most recent
post-villagization years. This fall in productivity does not seem to have been
caused by climatic factors, because . . . the excess rainfall in 1983 did not seem to
have had adverse effects on crop productivity' (Kikula 1997, 78). In the years
1981–83, the average maize yield in the five villages was 18 per cent lower, and
in 1983 as much as 25 per cent lower than the normal yield before villagization
(Kikula 1997, 77–80).
than in
Mkuu,mtu anayetaka ufuate policies zake atakwambia kuwa zake ni mbaya na zako ni nzuri?

Huwezi kuniletea sababu za IMF halafu nikubaliane nazo na wakati ukweli ni kwamba walitaka policies zao zifuatwe.

IMF inasimamiwa na wadau ambao walikuwa wakoloni tuliowafukuza,unategemea policies zao ziweje?

Think and think!

Sababu unazozitumia ku justify kwamba policies zao ndo nzuri mimi ndo nazozipinga.

(World Bank and IMF) increasingly tended to emphasize internal
causes. They argued ever more strongly that the stagnation of Tanzania's
agriculture was mainly caused by wrong policies and internal economic structures
suffocating the development of agriculture
 
Mkuu,

Kama umemsoma Rune hapo juu kuna makosa ya World Bank na IMF ambayo yamechangia kutumaliza but vile vile we share a part of the blame. Najua IMF na World kuna diplomasia nyingi zinatumika kuhakikisha power remains to the Europeans na USA. Further, biashara kubwa ya World Bank na IMF ni katika mikopo kwenye nchi zilizokuwa zinakopa kutoka kwao but this is about to change as nchi wanachama kama China, Saudi Arabia na Brazil pamoja na India (G20) are demanding more power in the IMF and World Bank. Vile vile the ailing financial condition waliyonayo Marekani na Europe in the long run itapelekea either kufa moja kwa moja IMF na World Bank au jamaa kuachia madaraka.

Hata hivyo kusema au kuelekeza lawama kwa IMF na World Bank hatuna tofauti na serikali ya sasa ya Kikwete ambapo wanapokwama husingizia mtikisiko wa dunia. Kuna some problems tumezisababisha wenyewe moja wapo nationalization. Kutaifishwa huku kwa baadhi ya mashirika kulipelekea huduma kuzorota, nepotism, bureaucracy etc. Vile vile Villagisation imechangia kuzorota kwa uzalishaji wa kilimo kwani watu wengi waliopewa mashamba walishindwa kuyaendeleza na matokeo kuanguka uzalishaji wa kilimo.Vile vile Nyerere siasa za ujamaa zilipelekea serikali yake kuelemewa na mzigo wa uendeshaji na matokeo yake ikapelekea serikali yake kuwa donor dependant relying on foreign aid.

Kuna watu wanafikiri namsifia Kikwete no bali nasema economic indicators kama mfano GDP, Per capital, HDI na nyenginezo zinamsifu. Our GDP growth rate is higher and expanding at a faster pace, per capital income is increasing, HDI development index is expanding we cannot dispute that. BUT Kikwete failure is on corruption, inflation, gap between rich and poor, literacy.

Mie sio mwanasiasa ni mwanataaluma sizungumzi kiushabiki sina haja ya kumfurahisha mtu!!!
Ni nchi zote zilizo nationalise zilipata matatizo hayo?

Na kama sivyo,then pointi yako bado haina nguvu.

Kama unaamini kuwa Tz ndo taifa pekee lililofuata nationalization policy na kufail,then prove it to me,halafu nikubaliane na wewe...Ukweli ni kwamba kuna nchi zinaendelea vizuri tu licha ya kwamba zili nationalise major means of production.

Je unajuwa nationalization ni against mfumo gani na unajuwa ni mfumo huo ambao unafagiliwa na IMF?
 
Kwenye uchumi ni totally failure na nyanja nyote zingine ni zaidi ya kufeli namkubali katika kuchonga tu, ni "orater" (mpiga porojo) mzuri sana na kujichekeshachekesha hovyooo.

@FaizaFoxy, hoja yako kwamba Nyerere alikuwa mpiga porojo na mzuri wa kujichekeshajekesha hovyo says more about you that it says about Nyerere. Yes, Nyerere hakuacha uchumi 'mnono' lakini kuna mambo ya msingi alifanya:

1. Kwa umuhimu wa kipekee, Nyerere alielewa vema kwamba maendeleo ya nchi yataletwa na wananchi wenyewe na ndio maana aliwekeza kwenye 'rasilimali watu'. Literacy rate wakati wa Nyerere ilikuwa juu kuliko kipindi hiki cha Ma-phd holder! Na kumbuka Nyerere kachukua nchi ikiwa na watu wengi mno wasiojua kusoma na kuandika. China wameishi hii dhana kwa miaka sa sasa tunaona matokeo yake. Huwezi kujenga uchumi kwa kutumia wawekezaji.

2. Nyerere alijuwa na kusimamia kwa vitendo dhana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa. Lakini muhimu kabisa alielewa kuwa hata pale mkulima atapata mazao mengi bado haitatosha kuinua pato lake (mkulima) na taifa kwa ujumla hivyo alijenga viwanda ili mazao yatokanayo na kilimo yawe 'processed' hapa hapa. Ndio maana alijenga Mwatex, Mutex, Kilitex, Urafiki, Kiwanda cha magunia, Tanganyika Packers, Coffee curing, n.k. Sijui hali ikoje sasa hivi kwenye hivi viwanda do you know Faiza?

4. Nyerere anaweza asiwe mchumi mzuri, lakini alitambua umuhimu wa RELI, kwamba usafiri wa barabara usingeweza kutoa mchango mkubwa katika kusafirisha watu na mali/bidhaa. Na ndio maana akaongea na marafiki zake China wamsaidie kuimarisha usafiri wa Reli. Siku hivi mnaongea na marafiki zenu kuhusu suti!

3. Nyerere alijua faida itokanayo na Geografia ya Tanzania na akaongea na jirani zake (Zambia) wakajenga bomba la mafuta na reli. Siku hizi mnawekeza kwenye mashingingi - wachumi!

4. Mambo yako mengi lakini nimalizie na haya madai ya porojo na kujichekeshajekesha. Nyerere alitumia muda mwingi kutembelea/kuongea na wananchi wa kawaida. Unaweza kuona alikuwa anapiga porojo lakini ni kupitia hizi 'porojo' aliweza kujifunza mwenyewe wakulima walikuwa wanapata mbolea na pembejeo nyingine n.k. Hakukaa ofisini na kuletewa reports za uwongo. Na pale alipokuwa anakutana na watu hakuhitaji 'kiti cha enzi' ili asiharibu sifa! Ni kupitia hii mikutano ya porojo Nyerere alijua first hand arekebishe wapi na kipi kiendelee. He spent most his time na watanzania kwa sababu aliamini Tanzania itandelezwa na watanzania. Hakuhitaji safari za bembea ili kujuwa nini afanye!

Kwa hiyo utaona kuwa Nyerere hakuacha 'cheque book' ila aliweka misingi mizuri ili cheques zipatikane na ndio akasema siasa ya ujamaa na kujitegema. Sidhani kama ccm ya sasa hivi inaelewa nini maana ya kujitegemea? Huwezi kuinua maisha ya wakulima wa pamba kama hakuna kiwanda cha ku-process hiyo pamba! Huwezi kuinua maisha wa wafugaji kwa mtindo wa kuswaga ng'ombe ni kuishia kwenye hivi vibucha vidogo vidogo!
 
Labda turudi mwanzo. Link ya source ya Wikipedia uliyotoa haijadili tuu mabaya aliyofanya Nyerere. In deed, inamjadili Nyerere kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Ulichofanya wewe umekopi paragraph moja tuu as if hiyo article inajadili mabaya ya Nyerere tuu. This is the paragraph you copied japokuwa tena kwa kukusudia ulisepa hapo kwenye nyekundu. Kwa sababu umesema kwenye thread nyingine unatumia the latest gadget na sio laptop, then sidhani hiyo gadget iliruka hiyo sentence yenye rangi nyekundu.

"Unfortunately for Nyerere and Tanzania, this ujamaa system caused agricultural output to plummet. The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[18]Subsequently, the country fell on hard economic times which was excacerbated by a war against Idi Amin and the six year drought. Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products."

Sasa ukiangalia kwenye hiyo paragraph uliyo-quote, mwandishi ametumia reference moja tuu (footnote 18). Mwandishi huyo kwenye footnote ni Meredith, Martin (2006). The fate of Africa: from the hopes of freedom to the heart of despair : a history of fifty years of independence.
Public Affairs. Sasa wewe unanimwagia list ya references za article nzima ya Wikipedia ambayo pia inaongelea the positive side ya Nyerere. Kwa maana, hiyo unatambua mazuri ya Nyerere yaliyoandikwa na hizo references ambazo hazihusiani hata kidogo na quotation yako hapo juu?
`
Lakini that is not my point kwa sababu kama ulivyosema unaniaminia na umesema nipo juu zaidi ya haya (I am flattered!). Sasa ngoja nikupe hayo ya juu. Kama unakumbuka huko nyuma kuna thread moja ya Nyerere ilianzishwa na Mwanakijiji, uka quote article moja iliyom-quote Karl Maier, kwenye kitabu chake kilichokuwa published mwaka 1998 ambapo anadai Nyerere alisema: "I failed. Let's admit it." Unakumbuka ile thread? Karl Maier naye alida ali-refer kwenye speech moja ya Nyerere. Tukaitafuta ile speech ya Nyerere, tukaiweka hapa, tukaisoma yote na hatukupata hiyo quotation ya Karl Maier aliyodai kuichukua kwenye hiyo speech ya Nyerere kuwa ali admit mwenyewe kuwa he was a failure. Kwa mana hiyo Karl Maier alikuwa anadanganya.

Sasa kwenye quataion yako ya leo ina-mrefer Meredith, Martin na kitabu chake ambacho possibly hujakisoma ujue kama kweli amesema hayo. Wewe umeanini tuu secondary source ya Wikipedia bila ku-very primary source i.e kitabu cha Meredith, Martin kama kweli amesema hayo. Ndio maana nilikupa yanayosemwa na Wikipedia juu ya Kikwete. Kama tunamni yaliyoandikwa na Wikipedia juu ya mabaya ya Nyerere, then tunaweza kuamini mabaya yaliyoandikwa na Wkipedia juu ya Kikwete bila hata ku-cross check references zilizotumika. Sitaki uumbuke kama ulivyoumbuka kwenye ile thread.

FF nasema usinchekeshe.

Mkuu pole sana kwa kazi huyu dada Failed Forever hawezi kukuelewa hata ukeshe ukitoa elimu. Aidha huwa anauelewa mdogo au yuko kazini hivyo anatimiza wajibu wa mwajiri wake. Ukifatilia mahuzulio yake hapa JF utapata hisia kwamba hana majukumu mengine aliyokabidhiwa isipokuwa kusambaza propaganda chafu. Unaweza kusema anaishi janvini
 
What I don't understand and the critics of Nyerere don't want to explain ni kuwa leo hii tangu 1985 Tanzania imekubali kila sharti la IMF na WB. Tumebadilisha kabisa sera zetu hadi sheria zetu kuwaccomodate hawa jamaa. Tunafuata siyo tu mambo ya IMF lakini tunafuata yote tunayoagizwa na Paris Club na creditors wengine wa kimataifa.

Sasa unatarajia kuwa kwa vile tunafuata sera za wakubwa hawa TAnzania ingekuwa na tofauti zaidi tena iliyo bora.

Ukiiondoa vitu vilivyoongezwa kwa sababu ya ongezeko la watu (mashule, barabara, hospitali n.k) je watu wanapata huduma bora zaidi kuliko wakati wa Nyerere? Je, hali ya uchumi kwa watu milioni 12 hivi ilikuwaje kulinganisha na sasa kwa watu milioni 45? Kuna hoja zimewahi kutolewa kuwa relative to the Nyerere era poverty Tanzania imeongezeka.

Deni la Taifa wakati wa Nyerere lilikuwaje kulinganisha na sasa? Je kujitegemea kutoka ndani kulikuwaje kulinganisha na sasa? Kama zamani tuliweza kutengeneza nguo zetu kwa kutumia pamba yetu wenyewe (kanga na vitenge vya humu humu ndani) leo tunaagiza baadhi ya vitu hivi kutoka nje kwa wingi tunaweza kusema tumeendelea zaidi? Kama zamani tuliweza kuunganisha radio, electronics mbalimbali n.k hapa hapa ndani leo tunaagiza vitu hivyo kwa wingi tunaweza kusema kuwa tumeendelea zaidi?

Watu wanasema Nyerere ilikuwaje - well we were more self reliant at the time kuliko wakati huu I propose. Literacy level ya watu wetu ilikuwa over 90% leo tuko hovering in the upper 60s tunaweza kujivunia?

Je sera zinazotukuza vitu na siyo utu zinaweza kudaiwa kuwa ni bora zaidi? Well kiini cha mgogoro wote unaoendelea nchini leo hi ni kuhusu utu na siyo vitu. Kama kipimo cha maendeleo ni 'vitu' basi tumeendelea sana kuliko wakati wa Nyerere. lakini ni vitu gani tunavyojivunia navyo? vya kwetu?
 
Ni kazi mpya kabisa haihusiani na historia ya "wazee" ni kazi ya kisomi zaidi na academic kwa watu ambao wanapenda kujihusisha na kufikirishwa.
Bahati mbaya sana tabia ya kujisomea ya watanzania wengi ilishakufa, hata huko vyuo vikuu wasomaji wa mawazo makubwa kama ya Nyerere hawako tena. Wanachojua huku "simlified versions"(madesa) kujibia mitihani tu. Juhudi hizo huenda zikawa bure, watakaofidika nazo watakuwa wachache sana. Pili, bei zake zitakuwaje? kwa mfumko wa bei uliopo, baadhi wataona bora wanunue kilo ya sukari kuliko mawazo ya mwl. Samahani jamani nawaza kwa sauti tu.
 
Kwenye uchumi ni totally failure na nyanja nyote zingine ni zaidi ya kufeli namkubali katika kuchonga tu, ni "orater" (mpiga porojo) mzuri sana na kujichekeshachekesha hovyooo.

Je, utamlinganisha na hawa ma'shemales' wenzako kama huyo wa dini moja na wewe?
 
Hata hivyo kusema au kuelekeza lawama kwa IMF na World Bank hatuna tofauti na serikali ya sasa ya Kikwete ambapo wanapokwama husingizia mtikisiko wa dunia. Kuna some problems tumezisababisha wenyewe moja wapo nationalization. Kutaifishwa huku kwa baadhi ya mashirika kulipelekea huduma kuzorota, nepotism, bureaucracy etc. Vile vile Villagisation imechangia kuzorota kwa uzalishaji wa kilimo kwani watu wengi waliopewa mashamba walishindwa kuyaendeleza na matokeo kuanguka uzalishaji wa kilimo.Vile vile Nyerere siasa za ujamaa zilipelekea serikali yake kuelemewa na mzigo wa uendeshaji na matokeo yake ikapelekea serikali yake kuwa donor dependant relying on foreign aid.

Mdondoaji lets explore this thought of yours ambayo umeitengeneza katika mfumo wa cause-effect. Unatuambia kuwa

1. Nationalization (cause) ilikuwa na matokeo (effects) hizi:huduma kuzorota, nepotism, bureaucracy etc.
2. Villagilazation (cause) ilikuwa na matokeo haya (effects): kuzorota kwa uzalishaji wa kilimo kwani watu wengi waliopewa mashamba walishindwa kuyaendeleza na matokeo kuanguka uzalishaji wa kilimo.
3. Siasa ya Ujamaa (cause) ilikuwa na matokeo haya: serikali yake kuelemewa na mzigo wa uendeshaji na matokeo yake ikapelekea serikali yake kuwa donor dependant relying on foreign aid.

Sasa hii ni argument nzuri kwa haraka haraka lakini argument ngumu sana kwani kuna namna moja kubwa ya kuionesha kuwa inavutia hisia tu lakini hauwezi kuonesha direct correlation kati ya hizo cause and effect. Hili naweza kulionesha hivi. Tangu 1985 Serikali ya Tanzania ilianza kubadilisha sera hizo zote na kuingia katika ubinafsishaji, no more villagillazation na capitalism. Kiakili kabisa tungetarajia (kama tukikubali your cause-effect argument) kwamba kwa kwenda kinyume na hizo sera zote basi matokeo (effects)yangekuwa tofauti.

1. Privatization (cause) matokeo yangekuwa : better services, meritocracy, less bureucracy etc
2. No villagilization (cause) matokeo yangekuwa : watu waliopewa mashamba wangezalisha zaidi, kilimo chetu kingekuwa cha hali ya juu na ongezeko kubwa la uzalishaji wa kilimo.
3. Capitalism (cause) matokeo yangekuwa serikali isingeelemewa na uendeshaji na ingekuwa less donor dependent.

SWALI KWA MDONDOAJI (na wengine):
Je, haya ndio tunayoyaona? NI kweli leo kuna better services na hakuna nepotism wala bureacracy? Ni kweli kwamba leo watu binafsi wanazalisha zaidi katika kilimo na hakuna tatizo la chakula na kuwa tuna export net food products? Je ni kweli kwamba serikali sasa hivi haitegemei sana misaada kutoka nje na haijaelemewa na gharama ya uendeshaji wa serikali? Kama jibu lenu ni ndio basi hoja ya Mdondoaji imeshinda yenyewe lakini kama jawabu ni 'siyo' kwenye swali lolote hapo juu then we are in a conundrum - is it possible that it is overtly simplistic to associate these causes to effects?

 
What I don't understand and the critics of Nyerere don't want to explain ni kuwa leo hii tangu 1985 Tanzania imekubali kila sharti la IMF na WB. Tumebadilisha kabisa sera zetu hadi sheria zetu kuwaccomodate hawa jamaa. Tunafuata siyo tu mambo ya IMF lakini tunafuata yote tunayoagizwa na Paris Club na creditors wengine wa kimataifa.

Sasa unatarajia kuwa kwa vile tunafuata sera za wakubwa hawa TAnzania ingekuwa na tofauti zaidi tena iliyo bora.

Ukiiondoa vitu vilivyoongezwa kwa sababu ya ongezeko la watu (mashule, barabara, hospitali n.k) je watu wanapata huduma bora zaidi kuliko wakati wa Nyerere? Je, hali ya uchumi kwa watu milioni 12 hivi ilikuwaje kulinganisha na sasa kwa watu milioni 45? Kuna hoja zimewahi kutolewa kuwa relative to the Nyerere era poverty Tanzania imeongezeka.

Deni la Taifa wakati wa Nyerere lilikuwaje kulinganisha na sasa? Je kujitegemea kutoka ndani kulikuwaje kulinganisha na sasa? Kama zamani tuliweza kutengeneza nguo zetu kwa kutumia pamba yetu wenyewe (kanga na vitenge vya humu humu ndani) leo tunaagiza baadhi ya vitu hivi kutoka nje kwa wingi tunaweza kusema tumeendelea zaidi? Kama zamani tuliweza kuunganisha radio, electronics mbalimbali n.k hapa hapa ndani leo tunaagiza vitu hivyo kwa wingi tunaweza kusema kuwa tumeendelea zaidi?

Watu wanasema Nyerere ilikuwaje - well we were more self reliant at the time kuliko wakati huu I propose. Literacy level ya watu wetu ilikuwa over 90% leo tuko hovering in the upper 60s tunaweza kujivunia?

Je sera zinazotukuza vitu na siyo utu zinaweza kudaiwa kuwa ni bora zaidi? Well kiini cha mgogoro wote unaoendelea nchini leo hi ni kuhusu utu na siyo vitu. Kama kipimo cha maendeleo ni 'vitu' basi tumeendelea sana kuliko wakati wa Nyerere. lakini ni vitu gani tunavyojivunia navyo? vya kwetu?

Mwanakijiji,
Umenikumbusha mkutano wa mwisho kati ya Nyerere na maafisa wa World Bank/IMF hapa Washington walipokuwa wanamuuliza wafanye nini
kuweza kufanikisha sera zao Afrika. Nyerere aliwajibu akiwaambia Tanzania, baada ya yeye kuondoka, imekuwa inafuata blueprint waliyopewa na benki kuu/IMF lakini literach rate imeshuka, idadi ya vifo vya wachanga imeongezeka. Akawaambia "have some humility."
 
Labda nikujuze. Wakti wa Nyerere hakukuwa na sio tu nguo kama alizovaa yeye bali pia hata sabuni za kuogea na kufuria zote zilikuwa kwa foleni tena katika duka la kaya la mtaani kwako.

Hizo baiskeli nakumbuka aina ya Swala zilikuwa zinapatikana RTC tu nazo zilikuwa kwa mwendo wa kuruka (Ulanguzi).

Ndio maana nauliza Je tokea apewe nchi 1961 mpaka anatoka madarakani ni kipi cha kujivunia Nyerere anaweza kuwaeleza wa TZ?

Mimi ninachojua ni kuasisi ulanguzi wa bidhaa kitu kilichoendelea na kuzaa ubadhilifu na sasa Ufisadi? Wewe je unanenaje?
Bahati nzuri niliishi wakati wa ukoloni nanikaashi wakati wa Nyerere na leo nashuhudia maangamizi makubwa ya uchumi na raslimali za taifa letu. Wakati wa Nyerere utawala wake uliinua kilimo cha mkulima mdogo (peasants), ni wakati huo kampeni za kweli za kilimo cha kisasa zilifanikiwa sana. Wakulima wadogo walifundishwa namna ya kutumia mbolea za kisasa na kuongeza uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula na ya biashara bila kuitisha wawekezaji. Ni wakati wa Nyerere viwanda vingi vilijengwa ambavyo serikali ya Mkapa ilikuja kuviuza kifisadi kwa sera za kifisadi za kubinafisha. Ni wakati wa Nyerere hudumu za jamii ziliimarishwa kuliko wakati mwingine wowote, huduma za afya zilipatikana bila matabaka, tulipelekwa shule na kusomeshwa na serikali mpaka ngazi ya chuo kikuu. Naamini kama sio vita ya Idd Amin na kuvunjika kwa jumuia ya Afrika mashariki mambo yasingekuwa mabaya. Hata hivyo hali ngumu iliyokuja baadae wananchi tulivumilia kwa kuwa viongozi hawakuwa na tamaa kama walivyo sasa, hata wale waliokuwa na tamaa walidhibitiwa na maadili ya uongozi chini ya Azimio la Arusha. Nyie mnaopiga mayowe na kujiita wasomi wa uchumi hamna uwezo wa kuziona juhudi za Nyerere kwa kuwa mmevaa miwani ya ubepari uchwara na ufisadi.
 
Rais Mstaafu kupewa utakatifu kwa kazi ipi zaidi au huo sio udini?
Kwa kuwa unakumbatia chuki badala ya maarifa huwezi kuchangia hoja kwa busara. Kumbuka swala la utakatifu wa Nyerere halikuanzishwa kitaifa bali na kanisa ambako mwalimu alikuwa muumini na mshiriki na alikuwa na mchango wake. Wewe unaumia nini kwa kanisa lake kumpa heshima hiyo? Kwangu mimi ambaye siamini katika dini hilo sio la mhimu, la mhimu kwangu ni mchango wa Nyerere kiuongozi na kiuchumi katika taifa hili. Naumia sana unapombeza kiongozi aliyejenga umoja na usawa ktk nchi mpaka nyie mnaomlaumu bado mnafaidi bila hata aibu. Sikushangai FF na kundi lako kwani mnafaidi na huu ubepari uchwara uliopo sasa.
 
Kwenye uchumi ni totally failure na nyanja nyote zingine ni zaidi ya kufeli namkubali katika kuchonga tu, ni "orater" (mpiga porojo) mzuri sana na kujichekeshachekesha hovyooo.
buzi

Unatumia variables gani na facts zipi kuweza kusema ni total failure. Unamlinganisha na nani katika nchi hii na kwa wakati gani? Mtu ukitaka kuteteta hoja au kuipinga ongea kama msomi uliyefanya upembuarazi yakinifu kwa kuangalia vigezo kama miundo mbinu ya barabara, hospitali na vituo vya afya -hospital ya rufaa aliyaocha ni ilelile, viwanja vya ndege vya kimataifa alivyoacha ni vilevile.Nasikia mjomba wako anajenga air strip bagamoyo, mabwawa ya umeme aliacha Mwalimu ni yaleyale bali sisi tumeleta richmond, dowans na symbion,iptl na songas mateso matupu.

Sasa dada yangu kusema hakufanya lolote ni kushindwa kumwogopa Mungu. Sema hakufika pale tulipopataka na juu yetu kuanzia kwenye misingi ile na kupandisha tofari ili tujenge nyumba tunayotaka. Sasa tumeparanganyika tupo kama popo ujamaa tupo ubepari yupo na hatutaki kukiri mwisho tumebaki kupigikelele yasiyotuhusu. Tuna matatizo mengi zaidi ya ushoga lakini tunapoteza miuda kujadili ushoga kuliko kauuli moja usho no way
 
Mushi usinifanye nikayatafuta madata ya Nyerere tosheka kwamba uchumi ulikuwa mbovu na nchi ilikuwa haina hela. Nyerere alikuwa katika same position kama Greece ilivyo sasa na pengine mbaya zaidi ndio maana akaona bora aachie ngazi. Kutoa elimu bure, matibabu bure sio sababu ya kwamba nchi ilikuwa katika hali nzuri kiuchumi kwani nchi ilikuwa kiuchumi hakui, na wala haiendi mbele na tulizidiwa na madeni na misaada kutoka kwa wafadhili hadi World Bank na IMF wakaingilia na kutoa masharti ya kuendelea kupata mikopo na misaada kuwa lazima mfumo wa kiuchumi nchini ubadilike (Economic Reforms Policy). Ndipo Nyerere akaona bora aachie ngazi kwani hali ilikuwa mbaya.
Madhara ya wasomi wa kukalili takwimu ambazo wameziona vitabuni bila uhalisia. Ninyi ndio mnaoamini kwamba uchumi wa Tanzania umekua sasa eti kwasababu tunasafirisha dhahabu nyingi nje kuliko wakati wa Nyerere bila kujali dhahabu hiyo inamnufaisha nani.
 
Kikwete hata umpe gunia avae bado atawaka tu. hilo ji Handsome la nguvu, MashaAllah, Halafu katika Marais wanajuwa kuvunja vitu, mnhhh mkali, Alipowekwa na boyz to men utafikiri mwenzao, Hollywood wanamkubali wacha Tanzania.
Pole sana kibwengo!
 
Utaniita sana mdini lakini ukweli unabakia pale pale kama kuna mazuri Nyerere kafanya uchumi sio mmoja wapo economic facts zinakataa ndugu. Viongozi ambao economic figures zinawasifu ni Mwinyi, Mkapa, na Kikwete. Haimaanishi kuwa wao wana mazuri katika kila kitu kwani wakati wa Mwinyi inflation ilikuwa juu, Mkapa ufisadi ulikuwa juu na JK naye ndio ufisadi unazidi but facts za economic performance nakataa Nyerere hakuna cha uchumi mzuri tusidanganyane hapa bure.
Acha kukalili theories za uchumi, angalia hisitoria na uhalisia wa mambo. Nilikuwa mtumishi wakati wa Nyerere, mshahra wangu uliniwezesha kununua gari bovu (voksiwagen Beetle) sijasitaafu leo mshahara wangu hauwezi kulipa cost sharing ya mwanangu shule ya kata. Uchumi uliokuwa wa serikali ya kikwete ni upi usioninufaisha?
 
Mdodoaji ni ilikuwa assessment ya western countries on china, india and malasyia?
 
Vipi alikua anajichekesha chekesha kama Bosi wako wa sasa? Familia yako ilikua ya Kifisadi ndio maana hutaki kumsikia huyu mzee hata siku moja.

Na familia yako ni ya Kikatoliki, bisha.
 
Back
Top Bottom