Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Mimi kama mchumi naweza kuwauliza Pro Nyerere,
Je ni kitu gani cha kiuchumi mnachoweza kumkumbaka Nyerere katika maendeleo ya Tanganyika?
Mkuu unajua mtu yeyote anaweza kujiita vyovyote, Mchumi, Mwanaanga, mhandisi, jambazi, daktari you name it!!!!!!!!! Kwa sababu inaonekana umegoma kabisa kushirikisha ubongo yako sasa tutaenda kwa lugha ya picha sawa get ready!!!!!!
Unamuona huyu hapa chini?
Mavazi yote aliyovaa na hata hiyo baiskeli swala anayoiendesha ni made in Tanzania!
Je Vipi huyu hapa chini? Kuna chochote hapo alichokivaa, made in Tanzania?
Sasa kama kweli wewe ni mchumi na siyo mbabaishaji fulani wa kuunga unga u will definetely know what I am talking about?