A New Collection of Nyerere's Work to be Published Next Week !

Anapewa na Vatikan kwa sababu ipi kama sio udini? Au Vatikan huwa inatowa tuzo za "utakatifu" kwa wanasiasa ? kuwa mkweli na nafsi yako, usijisute.

Mbona kuna wanasiasa wengi tu wamewahi pewa utakatifu na wakatoliki? Hebu jishughulishe kusoma utagundua hilo
 
Mushi usinifanye nikayatafuta madata ya Nyerere tosheka kwamba uchumi ulikuwa mbovu na nchi ilikuwa haina hela. Nyerere alikuwa katika same position kama Greece ilivyo sasa na pengine mbaya zaidi ndio maana akaona bora aachie ngazi. Kutoa elimu bure, matibabu bure sio sababu ya kwamba nchi ilikuwa katika hali nzuri kiuchumi kwani nchi ilikuwa kiuchumi hakui, na wala haiendi mbele na tulizidiwa na madeni na misaada kutoka kwa wafadhili hadi World Bank na IMF wakaingilia na kutoa masharti ya kuendelea kupata mikopo na misaada kuwa lazima mfumo wa kiuchumi nchini ubadilike (Economic Reforms Policy). Ndipo Nyerere akaona bora aachie ngazi kwani hali ilikuwa mbaya.

Acha fix za kijiweni kwenu una data gani wewe au umejaza maudini yako kichwani yanakuzingua hayaishagi hayo hadi ufe
 
Sasa kuna zuri hapo, ukiacha wananchi hawana hata chakula wala nguo za kuvaa, mashamba hayalimiki wakati ardhi ni safi.

Uzuri upi huo? Leo akujie muuza samaki umtoe samaki mmoja mbovu kwenye kapu utaanza kuchaguwa wazuri tena kwenye kapu hilohilo? Ustake ncheke.

Wewe ulikuwa ukisoma bure, kula bure, kunya bure na kupata kazi kirahisi chini ya uongozi wa mwalimu halafu leo unamdhihaki......umestaafu hebu wacha na sisi tupambane hawa vilaza walioko madarakani watupe elimu bure kama wewe ulivyopata na siyo unakuja kujishaua shaua hapa.
 
Ndugu,

Kilichosababisha matatizo ya Greece ni excessive government expenditure, elephant projects that yield zero or negative returns (kama olympic projects), tax evasion, corruptions, bureucracy, European Union. Hazina tofauti na Tanzania kwani Tanzania wakati wa Nyerere tulikuwa na similar scenarios kama Large government expenditure, low revenues, East African Community that we were the losing party, elephant projects, corruptions, tax evaders and bureaucracy.

Sasa niambie what is the differences? Tulikuwa tunadanganywa na wasomi wetu kuwa ati World Bank and IMF walikuwa hawana nia njema na sisi wakati ukweli wa mambo hata kama wao hawana nia njema na sisi vile vile na sie tulikuwa sehemu ya tatizo. Kwa taarifa yako matatizo ya uchumi wa Tanzania yalianzia kabla ya vita vya Uganda check your facts correct mkuu. Matatizo yetu ya uchumi yalianza miaka ya mwanzoni mwa 1970s ambapo serikali ilipoanza kutekeleza sera za vijiji. Uzalishaji ukashuka, na uchumi ukaanza kuwa unasuasa. Vile vile viwanda vikaanza kufa. Vita ya Uganda ilikuja kuongeza mzigo mwengine mzito but the problem started kabla ya hiyo nenda kasome vizuri uchumi utakuja kuniambia.
Unazungumzia excessive expenditures kuwa mojawapo ya sababu za kuyumba kwa uchumi and then una exclude vita from expenditures.

Unafanya hivyo ili kujifurahisha ama kuchangamsha genge?

Halafu uchumi mbaya unakuwa triggered na many factors...Kwahiyo huwezi ku pin point excatly one reason at a very specific time.It is a combo of factors...Some are big some minor ones!

Sasa unakubali kuwa kuna wakati kulikuwa na uzalishaji wa juu,uchumi mzuri na viwanda.Halafu then unamlaumu Nyerere personally.

Ndo maana nikasema kuwa kuna wakati uchumi ulikuwa safi tu.

Umenishangaza sana unapozungumiza mambo ya elephant projects halafu una down play impact za vita ya Uganda kwenye uchumi.

Vita ni noma kwa big nations ndo iwe bongo?

Vipi kuhusu nguvu kazi ambayo uchumi ili ukosa kwasababu hiyo?
 
Labda turudi mwanzo. Link ya source ya Wikipedia uliyotoa haijadili tuu mabaya aliyofanya Nyerere. In deed, inamjadili Nyerere kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Ulichofanya wewe umekopi paragraph moja tuu as if hiyo article inajadili mabaya ya Nyerere tuu. This is the paragraph you copied japokuwa tena kwa kukusudia ulisepa hapo kwenye nyekundu. Kwa sababu umesema kwenye thread nyingine unatumia the latest gadget na sio laptop, then sidhani hiyo gadget iliruka hiyo sentence yenye rangi nyekundu.

"Unfortunately for Nyerere and Tanzania, this ujamaa system caused agricultural output to plummet. The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[18]Subsequently, the country fell on hard economic times which was excacerbated by a war against Idi Amin and the six year drought. Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products."

Sasa ukiangalia kwenye hiyo paragraph uliyo-quote, mwandishi ametumia reference moja tuu (footnote 18). Mwandishi huyo kwenye footnote ni Meredith, Martin (2006). The fate of Africa: from the hopes of freedom to the heart of despair : a history of fifty years of independence. Public Affairs. Sasa wewe unanimwagia list ya references za article nzima ya Wikipedia ambayo pia inaongelea the positive side ya Nyerere. Kwa maana, hiyo unatambua mazuri ya Nyerere yaliyoandikwa na hizo references ambazo hazihusiani hata kidogo na quotation yako hapo juu?

Lakini that is not my point kwa sababu kama ulivyosema unaniaminia na umesema nipo juu zaidi ya haya (I am flattered!). Sasa ngoja nikupe hayo ya juu. Kama unakumbuka huko nyuma kuna thread moja ya Nyerere ilianzishwa na Mwanakijiji, uka quote article moja iliyom-quote Karl Maier, kwenye kitabu chake kilichokuwa published mwaka 1998 ambapo anadai Nyerere alisema: "I failed. Let's admit it." Unakumbuka ile thread? Karl Maier naye alida ali-refer kwenye speech moja ya Nyerere. Tukaitafuta ile speech ya Nyerere, tukaiweka hapa, tukaisoma yote na hatukupata hiyo quotation ya Karl Maier aliyodai kuichukua kwenye hiyo speech ya Nyerere kuwa ali admit mwenyewe kuwa he was a failure. Kwa mana hiyo Karl Maier alikuwa anadanganya.

Sasa kwenye quataion yako ya leo ina-mrefer Meredith, Martin na kitabu chake ambacho possibly hujakisoma ujue kama kweli amesema hayo. Wewe umeanini tuu secondary source ya Wikipedia bila ku-very primary source i.e kitabu cha Meredith, Martin kama kweli amesema hayo. Ndio maana nilikupa yanayosemwa na Wikipedia juu ya Kikwete. Kama tunamni yaliyoandikwa na Wikipedia juu ya mabaya ya Nyerere, then tunaweza kuamini mabaya yaliyoandikwa na Wkipedia juu ya Kikwete bila hata ku-cross check references zilizotumika. Sitaki uumbuke kama ulivyoumbuka kwenye ile thread.

FF nasema usinchekeshe.
EMT,
FF anayo kazi moja tu...kuhakikisha anapigania tuache kuuliza maswali kwenye mambo ya awamu ya nne.
 
Nina data na articles zimeandikwa na wasomi zinaelezea hali ya nchi ilivyokuwa wakati anaondoka Nyerere in short ilikuwa bankrupt na kuna mengi yalikuwa yamejificha na hayasemwi. Anyway mie nachukulia kama ya zamani yashapita tugange yajayo.

Utakapo leta hizo data zako za kwa nini serikali ya Nyerere ilikuwa broke wakati huo utuletee na jibu la kwa nini serikali ya JK leo hii iko broke.

Tanzania: Is the govt broke?

By The Citizen Team
Dar/Dodoma.

There are growing signs that State coffers are running dry, a situation which has put the government in an awkward position when it comes to meeting its obligations and honouring a wide range of commitments.

Indicators showing that the government has liquidity problems include the recent failure to pay civil servants their October salaries in full, disburse subsidies to political parties and finance budgeted projects.

Reliable sources have confided to The Citizen that last month, a number of government workers in some district councils failed to get their pay in time, while some received partial payment.

But the minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, quickly dismissed the concern and maintained that the government was in a sound financial position and capable of meeting its financial obligations without any unnecessary delays.

He told The Citizen in Dodoma where he is attending the ongoing Parliamentary session that it was not true that there was salary delay of salaries as his office through Treasury has been approving salaries on 25th of every month.

Isome mwenyewe hapa https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/191103-tanzania-is-the-govt-broke.html

hapa Is the govt broke?
 
Unazungumzia excessive expenditures kuwa mojawapo ya sababu za kuyumba kwa uchumi and then una exclude vita from expenditures.

Unafanya hivyo ili kujifurahisha ama kuchangamsha genge?

Halafu uchumi mbaya unakuwa triggered na many factors...Kwahiyo huwezi ku pin point excatly one reason at a very specific time.It is a combo of factors...Some are big some minor ones!

Sasa unakubali kuwa kuna wakati kulikuwa na uzalishaji wa juu,uchumi mzuri na viwanda.Halafu then unamlaumu Nyerere personally.

Ndo maana nikasema kuwa kuna wakati uchumi ulikuwa safi tu.

Umenishangaza sana unapozungumiza mambo ya elephant projects halafu una down play impact za vita ya Uganda kwenye uchumi.

Vita ni noma kwa big nations ndo iwe bongo?

Vipi kuhusu nguvu kazi ambayo uchumi ili ukosa kwasababu hiyo?

Mkuu ni udini tu umetafuna akili yake hana lolote yeye ni mmojawapo ya waliofaidika na utawala wa Nyerere leo wananyea kambi
 
Acha fix za kijiweni kwenu una data gani wewe au umejaza maudini yako kichwani yanakuzingua hayaishagi hayo hadi ufe

Utaniita sana mdini lakini ukweli unabakia pale pale kama kuna mazuri Nyerere kafanya uchumi sio mmoja wapo economic facts zinakataa ndugu. Viongozi ambao economic figures zinawasifu ni Mwinyi, Mkapa, na Kikwete. Haimaanishi kuwa wao wana mazuri katika kila kitu kwani wakati wa Mwinyi inflation ilikuwa juu, Mkapa ufisadi ulikuwa juu na JK naye ndio ufisadi unazidi but facts za economic performance nakataa Nyerere hakuna cha uchumi mzuri tusidanganyane hapa bure.
 
Unazungumzia excessive expenditures kuwa mojawapo ya sababu za kuyumba kwa uchumi and then una exclude vita from expenditures.

Unafanya hivyo ili kujifurahisha ama kuchangamsha genge?

Halafu uchumi mbaya unakuwa triggered na many factors...Kwahiyo huwezi ku pin point excatly one reason at a very specific time.It is a combo of factors...Some are big some minor ones!

Sasa unakubali kuwa kuna wakati kulikuwa na uzalishaji wa juu,uchumi mzuri na viwanda.Halafu then unamlaumu Nyerere personally.

Ndo maana nikasema kuwa kuna wakati uchumi ulikuwa safi tu.

Umenishangaza sana unapozungumiza mambo ya elephant projects halafu una down play impact za vita ya Uganda kwenye uchumi.

Vita ni noma kwa big nations ndo iwe bongo?

Vipi kuhusu nguvu kazi ambayo uchumi ili ukosa kwasababu hiyo?

Jibu lako hapa chini:-

On the other hand, without directly denying these external factors, many
foreign researchers, as well as the donor community and the international financial
institutions (World Bank and IMF) increasingly tended to emphasize internal
causes. They argued ever more strongly that the stagnation of Tanzania's
agriculture was mainly caused by wrong policies and internal economic structures
suffocating the development of agriculture.
Among the internal factors which
were most often emphasized was the already noted inefficiency of agricultural
parastatals resulting in delayed or no payments to producers, high marketing
margins and correspondingly lower share of producer prices in the final prices
(Ellis 1983, 1988).6 Other internal factors which were often referred to were
5 Both in absolute and percentage terms, the World Bank made the greatest cut in disbursements,
from US$97.9 million in 1982 to US$28.5 million in 1985, corresponding to minus 71 per cent
(Havnevik et al. 1988, 126).
6 A serious limitation of Ellis' studies in terms of explaining agricultural stagnation after 1970 is
that, in addition to dealing mainly with export crops, he does not provide data from before 1970.
On the other hand, with reference to data collected by Odegaard, Deborah Bryceson (1993, 239) has
shown that, at least for food crops, the marketing margins, i.e. the difference between the consumer
and producer price divided by the producer price, were considerably higher in the period 1964–72
Economic Liberalization and Smallholder Productivity in Tanzania 339
nepotism and rent-seeking by corrupt bureaucrats in the state and the parastatal
sector, ‘financial repression' and controlled and panterritorial prices which led to
‘price distortions' discouraging agricultural producers from an efficient allocation
of resources, and the development of an industrial sector which stagnated
due to its inefficiency and import dependency and became increasingly unable
to provide agricultural producers with incentive goods (e.g. Bevan et al. 1989;
Collier and Gunning 1999).
It is noteworthy that the counterproductive effects of villagization, which
both the World Bank and most bilateral donors had applauded in the mid-1970s,
were more rarely referred to. However, several studies indicate that villagization
was possibly the most important sole cause of agricultural stagnation in the
period from the mid-1970s to the mid-1980s. Large numbers of peasants were
disrupted from their known productive environment and moved to areas where
they did not know the quality and properties of the soil. In the old scattered
settlements, shifting cultivation had ensured conservation of the soil. The new
settlements necessarily implied a more intensive pressure on land resources and
soil degradation.
After villagization, an increasingly intensive cultivation pattern developed
around the villages, which could count several thousand inhabitants.7 The
average fallow period declined rapidly, while the smallholders did not have the
necessary resources to conserve land by using chemical fertilizer, and walking
distances to the fields increased as villagers tried to counterbalance the decline in
soil fertility by cultivating areas more remote to the villages.8 One study of five
villages in Mufindi district carried out in the early 1980s shows ‘a significant
and continuing fall in output per hectare of maize during the three most recent
post-villagization years. This fall in productivity does not seem to have been
caused by climatic factors, because . . . the excess rainfall in 1983 did not seem to
have had adverse effects on crop productivity' (Kikula 1997, 78). In the years
1981–83, the average maize yield in the five villages was 18 per cent lower, and
in 1983 as much as 25 per cent lower than the normal yield before villagization
(Kikula 1997, 77–80).
than in
 
Utafiti-dini alioufanya Sheikh Idris Kikula ulitegemea ukupe majibu gani kama siyo udini mtupu ndugu.....? Si anaendelea kufanya kazi yenu pale UDOM au matokeo bado hajayachapisha?
 
Reference hiyo

Rune Skarstein, 2005, Journal of Agrarian Change, Vol 5, No 3, pg334-362.

Sasa sijui Idris Kikula ameingiaje hapo umemuona huyo tu jinsi ulivyo mdini wewe. What about Bevan et.al, 1989, Collier and Gunning, 1999
 
Utaniita sana mdini lakini ukweli unabakia pale pale kama kuna mazuri Nyerere kafanya uchumi sio mmoja wapo economic facts zinakataa ndugu. Viongozi ambao economic figures zinawasifu ni Mwinyi, Mkapa, na Kikwete. Haimaanishi kuwa wao wana mazuri katika kila kitu kwani wakati wa Mwinyi inflation ilikuwa juu, Mkapa ufisadi ulikuwa juu na JK naye ndio ufisadi unazidi but facts za economic performance nakataa Nyerere hakuna cha uchumi mzuri tusidanganyane hapa bure.
Kikwete? Don't make me laugh.
 
Reference hiyo

Rune Skarstein, 2005, Journal of Agrarian Change, Vol 5, No 3, pg334-362.

Sasa sijui Idris Kikula ameingiaje hapo umemuona huyo tu jinsi ulivyo mdini wewe. What about Bevan et.al, 1989, Collier and Gunning, 1999

Mdini ni wewe unayestaajabisha umma kwa kusema Kikwete amekuza uchumi kisa mnaelekea kumoja wakati wa swala!
 
Ni kazi mpya kabisa haihusiani na historia ya "wazee" ni kazi ya kisomi zaidi na academic kwa watu ambao wanapenda kujihusisha na kufikirishwa.

Niliona manuscripts za hivyo vitabu, ni sequel ya ile trilogy ya Uhuru na Umoja, Uhuru na Ujamaa, Uhuru na Maendeleo
 
Ndugu,

Kilichosababisha matatizo ya Greece ni excessive government expenditure, elephant projects that yield zero or negative returns (kama olympic projects), tax evasion, corruptions, bureucracy, European Union. Hazina tofauti na Tanzania kwani Tanzania wakati wa Nyerere tulikuwa na similar scenarios kama Large government expenditure, low revenues, East African Community that we were the losing party, elephant projects, corruptions, tax evaders and bureaucracy.

Sasa niambie what is the differences? Tulikuwa tunadanganywa na wasomi wetu kuwa ati World Bank and IMF walikuwa hawana nia njema na sisi wakati ukweli wa mambo hata kama wao hawana nia njema na sisi vile vile na sie tulikuwa sehemu ya tatizo. Kwa taarifa yako matatizo ya uchumi wa Tanzania yalianzia kabla ya vita vya Uganda check your facts correct mkuu. Matatizo yetu ya uchumi yalianza miaka ya mwanzoni mwa 1970s ambapo serikali ilipoanza kutekeleza sera za vijiji. Uzalishaji ukashuka, na uchumi ukaanza kuwa unasuasa. Vile vile viwanda vikaanza kufa. Vita ya Uganda ilikuja kuongeza mzigo mwengine mzito but the problem started kabla ya hiyo nenda kasome vizuri uchumi utakuja kuniambia.

Mkuu nina wasiwasi na hapo kwenye red. Moja ya vitu ambavyo IMF walitaka tufanye ni kuacha kuwapa wakulima subsidies. But nchi kama za EU waliendelea kutoa subsidies kwa wakulima wao which made us to fail compete with them on the world market. Nakubali kuna sababu nyingi ambazo zimesababisha the current food security in developing countries. However, a longer term reason ni kuanguka kwa kilimo kwenye nchi zetu, in most cases due to the structural adjustment policies of the IMF and World Bank.

Kimsingi tulitakiwa au kushauriwa (1) dismantle marketing boards and guaranteed prices for farmers' products; (2) phase out or eliminate subsidies and support such as fertilizer, machines, agricultural infrastructure; (3) reduce tariffs of food products to low levels. Nchi nyingi zilzokuwa net exporters or self-sufficient kwenye kilimo, zili-decline in local production and a rise in imports which had become cheaper because of the tariff reduction. Some of the imports are from developed countries which heavily subsidize their food products. The local farmers' produce were subjected to unfair competition, and in many cases could not survive. The effects on farm incomes, on human welfare, on national food production and food security were severe.

The case of Tanzania illustrates this. Kimsingi policies za chakula on self-sufficiency na support ya serikali kwenye agriculture sector (through marketing, credit and subsidies for inputs) ilisaidia uzalishaji kwenye kilimo. Lakini hizi sera zilibadilshwa miaka ya 1980s. Ruzuku kwenye kilimo ikaondolewa na gharama za chakula zikaanza kupanda very significantly. The marketing role of the state was phased out. Applied tariffs for most agricultural imports were reduced significantly. This, together with the dismantling of state support, led to local farmers being unable to compete with imports that are artificially cheapened by high subsidies.

Sasa hivi debate kubwa World Trade Organisation ni kilimo. Nchi zinazoendelea na zilizoendelea zimeshindwa kabisa kufikia makubaliano kwenye hii sector. Both the EU and the US are major exporters and importers of agriculture in the world, accounting for 11-13% of the share in world export and world import; thus having enormous effect on world production and trade. Both have high domestic subsidies. Both use the technique of fulfilling the obligation of reducing the WTO amber box subsidy while actually increasing the total subsidy.

Both have been shielding their own farmers from competition with imports. They have refused to remove those subsidies to their farmers. Then IMF na Wolrd bank wanakuja na kusema eti we should not protect our farmers. Hapo wanakuwa na nia ipi nzuri? Kwa nini pia hawaku-insert pressure kwenye nchi zinazoendelea nao waondoe hizo subsidies and other protections?

Kwenye nchi zilizoendelea watu wengi wanafanya kazi kwenye sekta za service industries or manufacturing. Wachache sana ni wakulima. Kwa mfano, Ufaransa, less than 3% ya population ni wakulima, Marekani ni less than 2%. Lakini hawa wanapokea ruzuku kubwa sana toka kwenye serikali zao. By contrast, in poor countries agriculture is typically the largest employer. In low-income countries, an average of 68% of the population makes its living through farming. Halafu IMF na World Bank wanatuambia tusiwape ruzuku. Wata survive kivipi hasa kwenye soko la dunia?

Kama unakumbuka ile famine ya Malawi, IMF instructed Malawi to sell its emergency food reserves to repay a paltry debt of £9 million, and to pursue a disastrous policy of mass privatisation. All these pushed the country to the brink of the worst famine in its history. The priority focus of the IMF was the pursuit of fiscal policy reform and this was at the expense of vulnerable communities. To punish Malawi for failing to accept its advice, the IMF withheld a further $47 million (£30m). Malawi had no option but to comply with the ill-advice. Matokeo yake tuliyaona. Mvua zilipoacha kunyesha, Malawi ilikuwa haina food reserves. And private traders also profiteered from the sale of the grain reserve, buying maize cheaply and hoarding it until prices rose before reselling it for exorbitant profits. Hapa nia njema ya IMF ilikuwa nini?

Halafu nikuulize maswali mengine mawili matatu. Kwa nini ni lazima boss wa IMF atoke Ulaya? Kwa nini taratibu za IMF haziruhusu atoke from developing countries? Isn't it traditionally a role reserved for a European in the great carve-up of global influence? Why the like of Brazil and South Africa have made clear that they would like to see a shake-up on this practice?

Kwa mfanno, leading to the appointment of Christine Lagarde, despite calls from developing economies that their candidates should be considered, Europe used its collective influence to keep the role in its hands because of the debt crises in several EU states. Hapo unaona IMF ipo kwa manufaa ya nani? Kama miaka ya 1980s, IMF ingekuwa na honest IMF boss anayetoka Afrika, unafikiri angeshauri tu-adopt zile structural adjustment programmes kama zilivyoletwa?
 
Anapewa na Vatikan kwa sababu ipi kama sio udini? Au Vatikan huwa inatowa tuzo za "utakatifu" kwa wanasiasa ? kuwa mkweli na nafsi yako, usijisute.
Naamini kwamba wewe ni muislamu unayemwogopa Mungu, na hivyo unaheshimu dini ya mtu mwingine. kama Wakatoliki wameamua kuanzisha mchakato wa kumtangaza Nyerere mtakatifu, hilo ni suala la Wakatoliki, wameamua katika mfumo wao, waheshimiwe. tatizo la watu kama wewe ni kuchanganya mambo yaliyo ndani ya mfumo ambao kwanza huuamini, huuelewi, wala huutambui - inakuwashia nini? Nyerere ni so great kiasi kwamba unaweza kumchambua katika yale aliyotenda kwa ajili ya watu wake [sio waumini wenzie], ikiwa ni pamoja na kubinafsisha shule zilizomilikiwa na kanisa, ili kuwafaidia wote, wakiwemo waislamu. kama unataka kumjadili Nyerere katika imani yake, unahitaji kutenda haki na kuelewa unazungumza nini. unahitaji kuzama na kujua kwa nini kuna mfumo kama huo wa Vatican, na mengine mengi. kama huwezi kuyajadili hayo, huwezi kusema kwamba unatenda haki kuzungumzia tu tena kijuu juu na kwa kebehi, kuhusu jambo kubwa kama kutangazwa Mtakatifu. nina imani unapata kichefuchefu mtu anapokashifu jambo katika dini yako, tena mtu asiyeelewa vizuri. basi kumbuka na wengine wanakushangaa jinsi unavyotengeneza "kachumbari" ya mambo ya siasa, uchumi na "utakatifu"
 
Mkuu nina wasiwasi na hapo kwenye red. Moja ya vitu ambavyo IMF walitaka tufanye ni kuacha kuwapa wakulima subsidies. But nchi kama za EU waliendelea kutoa subsidies kwa wakulima wao which made us to fail compete with them on the world market. Nakubali kuna sababu nyingi ambazo zimesababisha the current food security in developing countries. However, a longer term reason ni kuanguka kwa kilimo kwenye nchi zetu, in most cases due to the structural adjustment policies of the IMF and World Bank.

Kimsingi tulitakiwa au kushauriwa (1) dismantle marketing boards and guaranteed prices for farmers' products; (2) phase out or eliminate subsidies and support such as fertilizer, machines, agricultural infrastructure; (3) reduce tariffs of food products to low levels. Nchi nyingi zilzokuwa net exporters or self-sufficient kwenye kilimo, zili-decline in local production and a rise in imports which had become cheaper because of the tariff reduction. Some of the imports are from developed countries which heavily subsidize their food products. The local farmers' produce were subjected to unfair competition, and in many cases could not survive. The effects on farm incomes, on human welfare, on national food production and food security were severe.

The case of Tanzania illustrates this. Kimsingi policies za chakula on self-sufficiency na support ya serikali kwenye agriculture sector (through marketing, credit and subsidies for inputs) ilisaidia uzalishaji kwenye kilimo. Lakini hizi sera zilibadilshwa miaka ya 1980s. Ruzuku kwenye kilimo ikaondolewa na gharama za chakula zikaanza kupanda very significantly. The marketing role of the state was phased out. Applied tariffs for most agricultural imports were reduced significantly. This, together with the dismantling of state support, led to local farmers being unable to compete with imports that are artificially cheapened by high subsidies.

Sasa hivi debate kubwa World Trade Organisation ni kilimo. Nchi zinazoendelea na zilizoendelea zimeshindwa kabisa kufikia makubaliano kwenye hii sector. Both the EU and the US are major exporters and importers of agriculture in the world, accounting for 11-13% of the share in world export and world import; thus having enormous effect on world production and trade. Both have high domestic subsidies. Both use the technique of fulfilling the obligation of reducing the WTO amber box subsidy while actually increasing the total subsidy.

Both have been shielding their own farmers from competition with imports. They have refused to remove those subsidies to their farmers. Then IMF na Wolrd bank wanakuja na kusema eti we should not protect our farmers. Hapo wanakuwa na nia ipi nzuri? Kwa nini pia hawaku-insert pressure kwenye nchi zinazoendelea nao waondoe hizo subsidies and other protections?

Kwenye nchi zilizoendelea watu wengi wanafanya kazi kwenye sekta za service industries or manufacturing. Wachache sana ni wakulima. Kwa mfano, Ufaransa, less than 3% ya population ni wakulima, Marekani ni less than 2%. Lakini hawa wanapokea ruzuku kubwa sana toka kwenye serikali zao. By contrast, in poor countries agriculture is typically the largest employer. In low-income countries, an average of 68% of the population makes its living through farming. Halafu IMF na World Bank wanatuambia tusiwape ruzuku. Wata survive kivipi hasa kwenye soko la dunia?

Kama unakumbuka ile famine ya Malawi, IMF instructed Malawi to sell its emergency food reserves to repay a paltry debt of £9 million, and to pursue a disastrous policy of mass privatisation. All these pushed the country to the brink of the worst famine in its history. The priority focus of the IMF was the pursuit of fiscal policy reform and this was at the expense of vulnerable communities. To punish Malawi for failing to accept its advice, the IMF withheld a further $47 million (£30m). Malawi had no option but to comply with the ill-advice. Matokeo yake tuliyaona. Mvua zilipoacha kunyesha, Malawi ilikuwa haina food reserves. And private traders also profiteered from the sale of the grain reserve, buying maize cheaply and hoarding it until prices rose before reselling it for exorbitant profits. Hapa nia njema ya IMF ilikuwa nini?

Halafu nikuulize maswali mengine mawili matatu. Kwa nini ni lazima boss wa IMF atoke Ulaya? Kwa nini taratibu za IMF haziruhusu atoke from developing countries? Isn't it traditionally a role reserved for a European in the great carve-up of global influence? Why the like of Brazil and South Africa have made clear that they would like to see a shake-up on this practice?

Kwa mfanno, leading to the appointment of Christine Lagarde, despite calls from developing economies that their candidates should be considered, Europe used its collective influence to keep the role in its hands because of the debt crises in several EU states. Hapo unaona IMF ipo kwa manufaa ya nani? Kama miaka ya 1980s, IMF ingekuwa na honest IMF boss anayetoka Afrika, unafikiri angeshauri tu-adopt zile structural adjustment programmes kama zilivyoletwa?

Mkuu,

Kama umemsoma Rune hapo juu kuna makosa ya World Bank na IMF ambayo yamechangia kutumaliza but vile vile we share a part of the blame. Najua IMF na World kuna diplomasia nyingi zinatumika kuhakikisha power remains to the Europeans na USA. Further, biashara kubwa ya World Bank na IMF ni katika mikopo kwenye nchi zilizokuwa zinakopa kutoka kwao but this is about to change as nchi wanachama kama China, Saudi Arabia na Brazil pamoja na India (G20) are demanding more power in the IMF and World Bank. Vile vile the ailing financial condition waliyonayo Marekani na Europe in the long run itapelekea either kufa moja kwa moja IMF na World Bank au jamaa kuachia madaraka.

Hata hivyo kusema au kuelekeza lawama kwa IMF na World Bank hatuna tofauti na serikali ya sasa ya Kikwete ambapo wanapokwama husingizia mtikisiko wa dunia. Kuna some problems tumezisababisha wenyewe moja wapo nationalization. Kutaifishwa huku kwa baadhi ya mashirika kulipelekea huduma kuzorota, nepotism, bureaucracy etc. Vile vile Villagisation imechangia kuzorota kwa uzalishaji wa kilimo kwani watu wengi waliopewa mashamba walishindwa kuyaendeleza na matokeo kuanguka uzalishaji wa kilimo.Vile vile Nyerere siasa za ujamaa zilipelekea serikali yake kuelemewa na mzigo wa uendeshaji na matokeo yake ikapelekea serikali yake kuwa donor dependant relying on foreign aid.

Kuna watu wanafikiri namsifia Kikwete no bali nasema economic indicators kama mfano GDP, Per capital, HDI na nyenginezo zinamsifu. Our GDP growth rate is higher and expanding at a faster pace, per capital income is increasing, HDI development index is expanding we cannot dispute that. BUT Kikwete failure is on corruption, inflation, gap between rich and poor, literacy.

Mie sio mwanasiasa ni mwanataaluma sizungumzi kiushabiki sina haja ya kumfurahisha mtu!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wakuu nadhani hii ndiyo heading ya thread " A New Collection of Nyerere's Work to be Published Next Week " Sasa naona kama kawaida ya baadhi yetu humu thread imeanza kupindishwa na kelekea kusiko. Turudi kwenye mstari please.
 
Back
Top Bottom