A-List of celebrities in Bongo

Unajua nimekaa nimefikiria weee lakini wapi! Hivi bongo kuna A list celebrity gani ? Kwa A list namaanisha yule ambaye hawezi kwenda sehemu bila kuzongwa na mashabiki na paparazzi. Nani yupo kwenye hii category bongo....

fANYA URUDI NYUMBANI UKATEMBEE WALAU MIEZI 4 TUU

DUH!
 
hEHEHEHEHEH.....naenda sana ndo maana sijawahi ona hata mmoja...
....Mkuu,Hashim Lundenga,...Remtula Je?....teh..teh:D.....baaado sana Tz.Wigo bado mdogo sana kwa haya mambo,Ila 1st.class citizens wapo,wenyewe wanajiita 'the young up-comming profesionals':-H.Bomani,F.Karume,M.Dewji,R.Kikwete,J.Makamba,L.Masha,S.Bakhresa....
 
hata Nambua hukumuona?

Duh yani wewe Nambua una muona A list celebrity? hahahaa!!
JK pekee yake hawa wengine hakuna kitu, jamaa na ucelebrity wao wa bongo wakienda nje ya nchi ambako hakuna anayewajua utasikia "hivi hawa jamaa wananijua mimi nani?"
 
how dare we forget!!!!!he has been there done that,done this and still balling-the one and only
JACKSON AKIM PEMBA
 
Bongo hakuna ki2 kama hicho............................. ma celebrity wenyewe full kichefu chefu...................... yaani hata kuonana nae hivi unaona kama vile nuksi fulani kutokana na matendo yao machafu kwa jamiii...........lol
 
naona mtizamo labda na hali ainapokuwa bado ya utata kiuchumi inakuwa sio issue,alafu unakuta lingine watu ambao wangekuwa celebrities ndo maadili hakuna kila daily skendo za ngono
 
by the way,kelly nategemea kuwa states sometime next month,would you mind nikifikia kwako for even two or three days even as a paying guest?

Hey guys,

Mbona mnatulazimisha kusoma private issues hapa? Why dont you PM each other na kuongelea hizo booking za hotel na kulipa kwa credit card? Mara shem wewe karibu lalkini huyu hapana.

Sorry naona kama mawasiliano hayo ni too personal na hayapashwi kusomwa na kila mtu hapa. Turudi kwenye mada!!!

Tiba
 
Nyani;

Inategemea huyo superstaa ni wa nini na yupo maeneo gani. Mfano hata awe superstaa wa vipi maeneo ya masaki au mikocheni au hata Obey HAZONGWI MTU.

Sasa hapa kwetu mbagala staa wa bongo flava au movie au wale wanaoandikwa sana kwenye magazeti ya Shigongo wakija watu watasimama na kuwa nyooshea vidole lakini sio KUWAZONGA.

Tatizo kubwa huku bongo mastaa wengi hawana HELA, kwahiyo utamkuta anapanda dala dala kama wengine WATU WAMEWAZOEA.

FP
 
Aise hata mimi najiona celebrity...maana siwezi katiza mitaa ya brake point, Rose Garden, ukanda wa Gaza au Hongera bila kuzongwa na wananchi niwape hata tusker mbili za baridiii..au Nyani ulikuwa na maana gani ;-)????????????
 
Hey guys,

Mbona mnatulazimisha kusoma private issues hapa? Why dont you PM each other na kuongelea hizo booking za hotel na kulipa kwa credit card? Mara shem wewe karibu lalkini huyu hapana.

Sorry naona kama mawasiliano hayo ni too personal na hayapashwi kusomwa na kila mtu hapa. Turudi kwenye mada!!!

Tiba

waungwana wengine bana..sasa wewe yanakuhusu nini? kama unaona ni private issue wewe skip soma post nyingine....By the way what is the line between public and private?

Leo ni weekend bana..wacha watu tuchangamke...my only advise ..soma between the lines..ukisoma vizuri utamwelewa mwana wa Alaska alikuwa na maana gani..

Masanja,
 
We mwenyewe Nyani Ngabu ni staa, ulipokuja Bongo ukaenda Move n Pick wale jamaa kule Garden (nyuma ya kibo bar) walikuwa wanakusalimia karibu wote. Hivyo na wewe ni Staa kibongo bongo:)
 
Aise hata mimi najiona celebrity...maana siwezi katiza mitaa ya brake point, Rose Garden, ukanda wa Gaza au Hongera bila kuzongwa na wananchi niwape hata tusker mbili za baridiii..au Nyani ulikuwa na maana gani ;-)????????????


naona wewe Masanja feki.
Nimeskia kwamba umeokoka sasa kwenye bar unafuata nini huko unatega mingo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom