A-List of celebrities in Bongo

Hao babu ndio usiseme.
Ukirudi bongo utashangaa hata mademu usio wajua wanakuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home.
Kuna machangu na groupies wengi mno.

Kwani definition ya groupie ni nini?.

hivi mtu kuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home kwako ni groupie?.kama ni hivyo basi hata wanaume pia ni ma-groupie.
 
Kwani definition ya groupie ni nini?.

hivi mtu kuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home kwako ni groupie?.kama ni hivyo basi hata wanaume pia ni ma-groupie.

Sasha sikuweza kuelezea kiundani zaidi ila baadae maongezi yanaishia kiukubwa ukubwa. I hope unanielewa.
 
Kweli aisee...dogo anaweza akawa wa kwanza akibahatika kusajiliwa.

Vipi bongo, tunao groupies?

Kwani definition ya groupie ni nini?.

hivi mtu kuja kukaa meza moja na wewe au kuja kukusalimia home kwako ni groupie?.kama ni hivyo basi hata wanaume pia ni ma-groupie.

Inategemea unafuata nini! Inabidi utumie imagination kidogo kwenye kuelewa post zengine.
 
Anasajiliwa for sure labda akatike miguu! Atakua 3rd pick probably.

Yes Hasheem for sure.Juzi nilikutana na mnugu mmoja akaniuliza natoka wapi nikamwambia tanzania akaniambia oh akamkumbuka Hasheem i thought that was sweet.

Ila kuna maceleb wengi tuu ndani na nje ya tanzania kama akina Flavian matata na Millen Magesa wanafanya vizuri sana huko SA.
 
Nimeangalia mock draft moja wanadai Hasheem 2nd pick now so ataenda Memphis, 3rd pick angeenda Oklahoma City.
 
RuSh Limburgh Jr a.k.a Radio Butiama..........big tyme celebrity wa kibongo...........hahahaha..........i wonder why siku hizi hayupo hewani.
 
? ? ....kelly01?

hahahah jirani si rahisi miye siyo celeb mwenzio kidampa tuu!....mambo inakwendaje lakini?.

alafu i wonder why watu wanaongelea A list celeb tuu............. kuna watu walikuwa genius/vichwa wakati 90's mashuleni kuanzia primary,O-leveL, A level hado ma-college fulani.......... tena wengine wako humu humu JF........
 
Mkuu,

Mnapata taaabu saaaaanaaaaa wakati Cerebrity mkuu anaeleweka . . . .

Mkuu Liyumba . . .

Teee teheee tee!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom