A-List of celebrities in Bongo

Nyani;

Inategemea huyo superstaa ni wa nini na yupo maeneo gani. Mfano hata awe superstaa wa vipi maeneo ya masaki au mikocheni au hata Obey HAZONGWI MTU.

A lister ni A lister tu. Nikupe mfano, David Beckham, iwe UK, US, Hongo Kong, Cape Town....akionekana atazongwa tu na Paps watakuwa wanapigana vikumbo.
 
We mwenyewe Nyani Ngabu ni staa, ulipokuja Bongo ukaenda Move n Pick wale jamaa kule Garden (nyuma ya kibo bar) walikuwa wanakusalimia karibu wote. Hivyo na wewe ni Staa kibongo bongo:)

Oooh yeah...najua mimi huwa nasababisha watu kukata shingo(specifically kwa sababu ya physique yangu)...kuna siku nilienda Rose Garden....kufika pale nikaketi....sasa kuna jamaa mmoja anaitwa Inno anapenda sana kwenda pale..ni regular...yeye na crew yake wakanikaribisha kwenye meza yao na sikutumia hata senti yangu kunywa na kula.
 
A lister ni A lister tu. Nikupe mfano, David Beckham, iwe UK, US, Hongo Kong, Cape Town....akionekana atazongwa tu na Paps watakuwa wanapigana vikumbo.

NN vigezo gani kwa TZ vinamfanya mtu awe celebrity/ au wewe ni vigezo gani unatumia?

kwa kweli bongo hamna A-list celebrity

NN je mtu anaweza kuwa celebrity bila kushi kwa ku celebrate

je u-famous na celebrity ni sawasawa
 
Kweli A lister hakuna bongo. Closest labda ni Kikwete

kikwete ni celebrity???????????????

sidhani kama ma presidaa wana wekwa category moja na ma celebrity

hata katika marais wa africa JK hana attention kubwa, katika ma-rais wa africa Mugabe ndiyo mwenye attention kubwa (lakini uwezi ukamweka category moja na paris hilton)

Matajiri wafanyabiashara hawawekwi kwenye category ya ma-celebrity

Matajiri wafanyabiashara wanatoa misaada na wanapenda waitwe philathropist
Je TZ kuna ma Philanthropist wa kweli au wote wanatafuta sifa za kisiasa???
 
naona tatizo la waTanzania ni kutokuwa serious hasa kwa wale ambao walikuwa wanaelekea kwenye hiyo a lister, mimi kwa mtazamo wangu, mtu kama Mwisho Mwampamba na Miriam Odemba nyota yao ilikuwa juu sana kimataifa, lakini tatizo sijuhi ni displin au walikosa ushauri mzuri,
baada ya bigbrother1, mwisho alikuja Botswana na Namibia ilikuwa ni balaa ilikuwa inafikia point hata akiingia supermarket inabidi ifungwe kutokana na msongamano wa watu walikuwa wanataka kumwona, and most of time alikuwa ana escort ya police kwa usalama wake, lakini sasa sidhani kama yuko kwenye hiyo peak tena
 
unajua mkuu labla ungetuambia sifa za mtu kuwa celebrity, kwani nionavyo mimi bongo hakuna mwenye vigezo, labda bongo flava ambao huwa wanazongwa tu na wapambe wao
 
Tanzania hakuna celebrity !! Aliye jaribu kujitutumua alikuwa Bambo na Kigwendu !!!

Ila kwavile waliomnyanyua na kujua maisha yake ya ukaribu ni sisi sisi basi hakuna haja ya kumzunguka au paparazi kumfata.
 
naona tatizo la waTanzania ni kutokuwa serious hasa kwa wale ambao walikuwa wanaelekea kwenye hiyo a lister, mimi kwa mtazamo wangu, mtu kama Mwisho Mwampamba na Miriam Odemba nyota yao ilikuwa juu sana kimataifa, lakini tatizo sijuhi ni displin au walikosa ushauri mzuri,
baada ya bigbrother1, mwisho alikuja Botswana na Namibia ilikuwa ni balaa ilikuwa inafikia point hata akiingia supermarket inabidi ifungwe kutokana na msongamano wa watu walikuwa wanataka kumwona, and most of time alikuwa ana escort ya police kwa usalama wake, lakini sasa sidhani kama yuko kwenye hiyo peak tena

Tatizo njaa iliwasumbua..!!!!
 
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai

1. Amaritus Liyumba
2. Rostam Aziz
3. Reginald Mengi
4. Issa Michuzi
5. Jakaya Kikwete
6. Mashaka John
7. Dr. Salim Hamed Salim
8. Ze-Utamu & Yusuf Manji
9. Dr. Shayo Hildrebrand
10. Rose Migiro
11. Zitto Kabwe
12. Dr. Slaa
13. Hasheem Thabeet
14. Charles Hillary
15. Anna Kilango Malecela
16. Lawrence Masha
17. Lady Jaydee
18. Edward Lowassa
16. Jetuu Patel
19. Lyatonga Mrema & Issa Shivji
20. Andrew Chenge
21. Ben Mkapa
22. Professor Jay
23. Comandoo Matonya (ombaomba)
24. ZE-Comedy Original Team & DECI Team
25.Kubenea (Mwanahalisi)
 
Last edited by a moderator:
list yangu ya top 20 macelebrity tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity hai

1. Amaritus liyumba
2. Rostam aziz
3. Issa michuzi
4. Jakaya kikwete
5. Mashaka john
6. Dr. Salim hamed salim
5. Ze-utamu
6. Dr. Shayo hildrebrand
7. Rose migiro
8. Zitto kabwe
9. Dr. Slaa
10. Hasheem thabeet
11. Charles hillary
12. Anna kilango malecela
13. Lawrence masha
14. Lady jaydee
15. Edward lowassa
16. Jetuu patel
17. Alikiba
18. Andrew chenge
19. Ben mkapa
20. Professor jay

karibu jf, fisadi original
 
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai

1. Amaritus Liyumba
2. Rostam Aziz
3. Reginald Mengi
4. Issa Michuzi
5. Jakaya Kikwete
6. Mashaka John
7. Dr. Salim Hamed Salim
8. Ze-Utamu |Yusuf Manji
9. Dr. Shayo Hildrebrand
10. Rose Migiro
11. Zitto Kabwe
12. Dr. Slaa
13. Hasheem Thabeet
14. Charles Hillary
15. Anna Kilango Malecela
16. Lawrence Masha
17. Lady Jaydee
18. Edward Lowassa
16. Jetuu Patel
19. Alikiba |Mange Kimambi
20. Andrew Chenge
21. Ben Mkapa
22. Professor Jay
23. Comandoo Matonya (ombaomba)
24. ZE-Comedy Original Team
25. Kubenea (Mwanahalisi)

Hii List siyo official, ila kila mmoja wa hawa ndugu zetu tunaowapenda na tunaowachukia, kwa namno moja au nyingine, wamegusa nyoyo za watanzania waliowengi
 
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai

14. Charles Hillary
Wasifu wa huyo kaka tafadhali zaidi ya Utangazi na Macharanga
 
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai

1. Amaritus Liyumba
2. Rostam Aziz
3. Reginald Mengi
4. Issa Michuzi
5. Jakaya Kikwete
6. Mashaka John
7. Dr. Salim Hamed Salim
8. Ze-Utamu |Yusuf Manji
9. Dr. Shayo Hildrebrand
10. Rose Migiro
11. Zitto Kabwe
12. Dr. Slaa
13. Hasheem Thabeet
14. Charles Hillary
15. Anna Kilango Malecela
16. Lawrence Masha
17. Lady Jaydee
18. Edward Lowassa
16. Jetuu Patel
19. Alikiba |Mange Kimambi
20. Andrew Chenge
21. Ben Mkapa
22. Professor Jay
23. Comandoo Matonya (ombaomba)
24. ZE-Comedy Original Team
25.Kubenea (Mwanahalisi)

sasa wewe binafsi upo wa ngapi katika hii orodha ya majina?
 
sasa wewe binafsi upo wa ngapi katika hii orodha ya majina?

Mie sina ubavu wa kuwapo kwenye hii listi. Sie ni wezi wa uvunguni. Tunaiba ili kula siyo kufahamika, siku yangu kwenda mahakamani ikifika nakuwa sina hata hela za dhamana. Masikini mie,

Ehe, na wewe je? Uko namba ngapi kwenye hii lisiti
 
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai

1. Amaritus Liyumba
2. Rostam Aziz
3. Reginald Mengi
4. Issa Michuzi
5. Jakaya Kikwete
6. Mashaka John
7. Dr. Salim Hamed Salim
8. Ze-Utamu |Yusuf Manji
9. Dr. Shayo Hildrebrand
10. Rose Migiro
11. Zitto Kabwe
12. Dr. Slaa
13. Hasheem Thabeet
14. Charles Hillary
15. Anna Kilango Malecela
16. Lawrence Masha
17. Lady Jaydee
18. Edward Lowassa
16. Jetuu Patel
19. Alikiba |Mange Kimambi
20. Andrew Chenge
21. Ben Mkapa
22. Professor Jay
23. Comandoo Matonya (ombaomba)
24. ZE-Comedy Original Team
25.Kubenea (Mwanahalisi)

karibu sana jamaa..
sasa hawa uliowawekea alama ya mkato,mathalani ze utamu/yusuf manji ina maanisha nini?
halafu hebu pitia tena,mange pia amegusa mioyo ndugu?hahahaaha,kivipi labda?..hebu bana
 
List yangu ya Top 25 macelebrity Tanzania. Hawa wamechangia tanzania, au wamevuruga nchi kwa kiasi Fulani. Celebrity siyo lazime afanye mazuri siku zote, ni mtu anayevutia watu kwa mabaya na mazuri. Hawa ni macelebrity Hai

1. Amaritus Liyumba
2. Rostam Aziz
3. Reginald Mengi
4. Issa Michuzi
5. Jakaya Kikwete
6. Mashaka John
7. Dr. Salim Hamed Salim
8. Ze-Utamu & Yusuf Manji
9. Dr. Shayo Hildrebrand
10. Rose Migiro
11. Zitto Kabwe
12. Dr. Slaa
13. Hasheem Thabeet
14. Charles Hillary
15. Anna Kilango Malecela
16. Lawrence Masha
17. Lady Jaydee
18. Edward Lowassa
16. Jetuu Patel
19. Lyatonga Mrema & Issa Shivji
20. Andrew Chenge
21. Ben Mkapa
22. Professor Jay
23. Comandoo Matonya (ombaomba)
24. ZE-Comedy Original Team & DECI Team
25.Kubenea (Mwanahalisi)

**********************
....Nyani Ngabu & Mwanakijiji .....LOL

Wadau nadhani hapa sasa hakuna Ugomvi tena, nimejitahidi vya kutosha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom