A-List of celebrities in Bongo

Unajua hapa nilipo nafikiria sijui kwa ujumla kamega mashori wangapi katika maisha yake....600?

assumption! assumption assumption...je wewe ukiulizwa umelala na wanawake wangapi.?.......anyway i thought hii ni topic ya A-list celebrity kumbe ni issue ya nani kalala na nani na wangapi?....ooh well!....

tchao!

xoxo
 
Are you blind?.

Scroll up and see kama nimeandika after superman.....huo ni unafiki au kunitakia mabaya.......

Kelly dont worry, I know wote tunakutakia mazuri.

Wale wengine waliyataka wenyewe . . . Red RAV4, Red Suzuki; nk.
 
assumption! assumption assumption...je wewe ukiulizwa umelala na wanawake wangapi.?.......anyway i thought hii ni topic ya A-list celebrity kumbe ni issue ya nani kalala na nani na wangapi?....ooh well!....

tchao!

xoxo

Uliuza tu kama unataka kujua? mengine ni redundant.....ila sijamfikia Liyumba aisee....
 
Uliuza tu kama unataka kujua? mengine ni redundant.....ila sijamfikia Liyumba aisee....

No aisee i will pass!.....hata ukiitaja haitasaidia kitu maana umeshalala nao tayari na haita-change anything......

Mbona unamliwaza kama naye alishamegwa na Liyumba....

hebu bwana acha kuongea hilo neno linatia kicheche alafu siyo neno zuri sana na kama unalitumia kwa dharau...hebu kuwa gentleman for a minute cuppy!.....ooh gosh!
 
No aisee i will pass!.....hata ukiitaja haitasaidia kitu maana umeshalala nao tayari na haita-change anything......

hebu bwana acha kuongea hilo neno linatia kicheche alafu siyo neno zuri sana na kama unalitumia kwa dharau...hebu kuwa gentleman for a minute cuppy!.....ooh gosh!

Neno gani? kumegwa? come on...get with the program....
 
oooh Nahene!...

sorry SOA!....And you are too smart to ask me those kind of questions.....
by the way,kelly nategemea kuwa states sometime next month,would you mind nikifikia kwako for even two or three days even as a paying guest?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom