Computer science kiranja wa Dunia
Jexi is a 2019 American romantic comedy film written and directed by Jon Lucas and Scott Moore. The film stars Adam DeVine, Alexandra Shipp, Michael Peña, Rose Byrne, Justin Hartley, Wanda Sykes, Ron Funches, and Charlyne Yi. The plot follows a self-aware phone that becomes emotionally attached to its socially awkward owner.Ni nini hiki mkuu?
Kifo na usingizi ni fumbo lililoshindikana kufumbuliwa Mkuu.Daniel 12 sku za mwisho watu wataenda mbio mbio na maarifa yataongezeka nimesikia juu ya miaka ijayo watazaliwa kizazi cha watu wenye akili sana kuwai kutokea duniani yaani hakuna haja ya kusoma mtt anazaliwa na iq kubwa nakuunga mkono ila sasa dunia bado ipo gizani juu ya ile chip ya kujua mfu yuko wapi iliofeli kufanya kazi
Ulikua na point ila umenigiza utani..😂😂Superhuman wapo wakutosha, wengine wanaruka na uongo usiku huko daily.
Bila kusahau kina Elon Musk a.k.a Tony Stark nawalio watengeneza hizo A.I...
Hao A.I wakituzingua tutashinda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama AI zikianzisha vita nasisi hatutoshinda, na kama zina access na kila kitu, hao wanaoruka na ungo/pamoja na waliotengeneza, kutakuwa hakuna cha kufanya zaidi ya kusubiri kupinduliwa,Superhuman wapo wakutosha, wengine wanaruka na uongo usiku huko daily.
Bila kusahau kina Elon Musk a.k.a Tony Stark nawalio watengeneza hizo A.I...
Hao A.I wakituzingua tutashinda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani pale walikua wanatuelezea kabisa effects za AI. Ila waliwezaje kumuua Ultron wakati ultron ni Mind anaweza kuhama mwili mmoja kwenda mwingine.Mkuu kama AI zikianzisha vita nasisi hatutoshinda, na kama zina access na kila kitu, hao wanaoruka na ungo/pamoja na waliotengeneza, kutakuwa hakuna cha kufanya zaidi ya kusubiri kupinduliwa,
Kama ni mpenzi wa superhero/sci fi movies utaona kilichowatokea tonystark na bruce'banner.
Toka nimecheki age of ultron ni muda mrefu sana, ila nakumbuka Wanda kuna kitu alimtoa alafu vision akammalizia.Yaani pale walikua wanatuelezea kabisa effects za AI. Ila waliwezaje kumuua Ultron wakati ultron ni Mind anaweza kuhama mwili mmoja kwenda mwingine.
au baada ya Vision kum.shut down online?
Nimeicheki hiyo muvi asee.. ila nimeaahau jina lake. Wanajiunda wanakua kama mkeka au ufagio afu wanapiga mitama watu.Kuna movie ya kihindi pia Robot Ya kitambo kidogo Robot anamgeuka doc anakuwa na emotion attachment na lady fulani, owner anamind anampondaponda Then he dumps The robot Finally anajikongoja , Anajiunda tena then anatengeneza Robots wenzake maelfu, Then anaanza war with Humans
Mie ninayo.Toka nimecheki age of ultron ni muda mrefu sana, ila nakumbuka Wanda kuna kitu alimtoa alafu vision akammalizia.
Unazungumzia ya mwaka gani mkuu , Nazungumiza 2010 Wanaiita Enthiran,Nimeicheki hiyo muvi asee.. ila nimeaahau jina lake. Wanajiunda wanakua kama mkeka au ufagio afu wanapiga mitama watu.
kuna pale walibebana wakamshusha dereva yupo ndani ya helkopta
Nahisi ndio hiyo. Si walikua wamevaa Suti?Unazungumzia ya mwaka gani mkuu , Nazungumiza 2010 Wanaiita Enthiran,View attachment 1312322View attachment 1312323