A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Luton4554,
Yapo mengi sana hapo.. sikuongelea machine Learning, ANNs, Natural language, nk. Ni maengi sana sikutaka nizane deep zaidi kama nafundisha Hili somo
 
Robot sophia anasema ametengenezwa kwa high AI na software bugs,software bugs nini?
 
Mara nyingi muvi hua inatoa vitu ambavyo vitakuwepo in future..watu wakiona wanajua ni mambo ya kusadikika kama muvi zilivyozoeleka. Ila muda ufikapo kila kitu kitakua wazi
Kama kwenye fast furious ya hobb &shaw kuna mniga mmoja jambazi alikuwa anapikipiki anaiita inakuja anapanda anaondoka,nikaja kuona kwenye YouTube BMW wametoa pikipiki kama ile unaweza kujiendesha inahisi kiziwiziz chochote barabarani inatambua,inahisi ajali na kutoa taarifa.
 
Hizo mbona zipo kitambo hasa upange wa maguari. Audi Gtron unaweza kuiita..BMW pia zipo na magari mengine ya kisasa
 
Point taken mkuu hasa hapo mtoto kumkazania kusoma sayansi sio vishazi huru! I will do that to my kids!
 
Asante kwa mada nzuri!

Je, kuna tofauti kati ya AI na Machine Learning?
 
Mifumo ya elimu bongo inatakiwa iwe konk sana! Haya malumbano ya kisiasa ndio yanaharibu tusiendelee. Eti mtu akigundua silaha, anakamatwa anatiwa ndani. Mawaziri wana kazi ya ku-abandon upinzani tu. Time Travel iliwezekana kwa Yesu pekee.
 
Daniel 12 sku za mwisho watu wataenda mbio mbio na maarifa yataongezeka nimesikia juu ya miaka ijayo watazaliwa kizazi cha watu wenye akili sana kuwai kutokea duniani yaani hakuna haja ya kusoma mtoto anazaliwa na iq kubwa nakuunga mkono ila sasa dunia bado ipo gizani juu ya ile chip ya kujua mfu yuko wapi iliofeli kufanya kazi
 
Mifumo ya elimu bongo inatakiwa iwe konk sana! Haya malumbano ya kisiasa ndio yanaharibu tusiendelee. Eti mtu akigundua silaha, anakamatwa anatiwa ndani. Mawaziri wana kazi ya ku-abandon upinzani tu. Time Travel iliwezekana kwa Yesu pekee.
Ni kweli. Ila umejuaje kama T.Travelling inawezekana kwa Yesu tu?
 
Back
Top Bottom