A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Elon Musk gani aliyesaini paper sijui ya kuzuia sijui Nini, si Elon Musk huyu aliye mstari wa mbele kwenye AI na juzi tu katoka kutambulisha AI yake inayofanana na GTP itakayopatika a kwenye mtandao wake wa X.

Si Elon huyu mwenye kampuni kabisa iliyo base kwenye AI ya ku-integrate ubongo na computer nk

Elon gani unayemzungumzia mzee na kupi Cha kuifanya AI kuwa mbaya naona tatizo akili zenu zikisikia neno AI linawaza Movie za Terminator na Cyborg tu munasau AI tumetumia kitambo hata Automation Ni AI powered na zinatumika kuzalisha bidhaa mbalimbali tunazotumia kilasiku

Naona wewe ndio unajifanya mjuaji hapa kuwa Developer haikufanyi kujua kilakitu mzee haitaji uwe developer ili kujia kuhusu Tech things including AI.
Jinga hilo jamaa halafu muhaya. Ujuaji mwingi
 
Back
Top Bottom