Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,327
- 83,772
Teh hata siyo story ndefu mwaya, kwa kifupi ni kuwa watu walinishangaa na kusema kuwa hapa Tanzania hakuna mwanamke astronomer na ni ngumu mimi kuja kuifikia hiyo ndoto yangu. Wazazi wangu wao walinibembeleza sana niwe daktari, mwisho wa siku nikaona niachane tu na science maana sijawahi kuwaza kuwa daktari.Basi nasubiria kwa hamu siku ukianzisha uzi huo.
Yaani dogo ni sawasawa na vile sisi wafrika mtu akiwa tajiri sana tunamchukia ili kipoza nafsi zetu tunasema kuanni freemason au kamtoa kafara mwanae. Hapo roho kwatuu tunatulia kabisa wala hatujishughulishi kwa bidii tuwe kama yy..
Tunajua wazungu wanatumikisha akili zao sana so wao wqnachofanya wanatuletea hizo habari za Aliens ili roho zetu zitulie tuone hawana akili wanasaidiwa na aliens. Wakati tunajibweteka kwa kudhani hawana akili wanasaidiwa basi wao wanazidi kufanya invetions kubwa kubwa. Hivyo tutabaki kuwategemea wao daima
Kwa kweli mimi naona sisi waafrika wengi wetu ni vilaza, yaani wazungu hata wasihangaike kutumia nguvu nyingi kutufanya tujione vilaza sisi ni vilaza si kidogo.