Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 872
- 1,348
ShukraniNakushauri uende kwenye vyuo vya tech hapa nchini mfano DIT au Arusha Ins Of Tech watakusaidia kwa uhakika zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniNakushauri uende kwenye vyuo vya tech hapa nchini mfano DIT au Arusha Ins Of Tech watakusaidia kwa uhakika zaidi
Huu uzi nimekua naufatilia tangu mwandishi kauanzisha lakini nilikua naona hata aibu kuchangia hoja kwa sababu hoja nyingi watu wanaandika na ku-argue kutokana na wanachofikiria na sio kilicho kweli. Mwisho wa siku yule mwenye uwezo wa kusimamia anachofikiria ndio anaonekana kasema ukweli. Ni leo tu nmechangia baada ya kuona mtu fln anarelate AI technology na aliens.Uzi una makosa mengi lakini sina muda wa kusahihisha. Baadhi ya mambo uliyoandika ndiyo yaliyopelekea watafiti kukataa katakata kuamini au kuyachukulia kwa uzito maandiko yasiyokuwa na rejea na vyanzo vya kuaminika.
Machine haifikirii kama binadamu bali inakuwa "programmed or trained" "kumimic" matendo ya binadamu au "kureact/kurespond" kwa kutegemea "stimuli" katika mazingira husika. Unaweza kupata "glimpse" hapa: Introduction to Machine Learning and TensorFlow With Python
Ni vile vile mkuu sema mazoea ya kuziita hizi colleges "Instute of Tech" ndo yamenikaa.Hivi kuna tofauti ya ATC ya Arusha na hiyo A instute of Tech..?
Ni Mara elfu akajisomea mwenyewe mimi nimeshaongea na walimu wa hivyo vyuo Kuna vitu vingi hawavijui kuhusu AI na inatokana kuwa ni technologies mpya kwa hy experts ni wachacheNakushauri uende kwenye vyuo vya tech hapa nchini mfano DIT au Arusha Ins Of Tech watakusaidia kwa uhakika zaidi
Okay.Self driving car imeanza 2009 ambayo ni application ya machine learning sidhan kama practical imeanza 2010
Ipo, kuna vyombo vimebuniwa vitakuwa vinasafiri kwa speed ya mwanga. Na baadae watavi advance ili viweze kusafirisha wanadam kwenda sayari zingine. Wanataka kuufanya ulimwengu uwe kama kijiji, dunia walishamaliza.safi kabisa mada nzuri sana ila hapo kwenye time travelling hizo bado ni fiction hakuna kitu kama hicho wala hakiwezi tokea na kama wamedai kuwa ipo ni kwa ajili ya kucreate mind complexion to them from the world
Kwa hio badae binadam atakuwa na kazi gani.?Luton4554,
Yapo mengi sana hapo.. sikuongelea machine Learning, ANNs, Natural language, nk. Ni maengi sana sikutaka nizane deep zaidi kama nafundisha Hili somo
Sijawhi kuiangalia. Yakoje mambo humoNakumbuka niliangalia seasons za Nikita hizi mambo zipo sana. Da'Vinci,
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli
sikia technology ndiyo imeleta issue za Genetically (GMO), issue za artificial foods ambazo zmepelekea kuongezeka kwa magonjwa ya kila aina
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipoteze muda wako kunipa link za conspiracy theories, we kila kilichoandikwa kwenye internet unakichukulia kama universal truth?Graph, i wish nkuwekee link ya hao so called "Secret soCiEtY" ili usome na ujue maana ya hizo unazoziita chanjo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Graph wewe huwa mbishi.