A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Mkuu asante kwa taarifa hii,na naona unashabikia kweli kweli Artificial Intelligence (A.I),but is it all rosy as you tend to believe and think.No,sio kila king'aacho ni dhahabu.A.I is nothing,but part of the ongoing human enslavement process by dark forces.

The following is an excerpt of an agreement signed between the dark forces,a.k.a Aliens or demons,extraterrestrials,whatever you want to call them and President Eisenhower of the United States in 1954,in which the dark forces agreed to provide technologies including A.I. in exchange for abductees etc.The excerpt is as follows:

"The treaty stated that the aliens would not interfere in our affairs and we would not interfere in theirs. We would keep their presence on earth a secret. They would furnish us with advanced technology and would help us in our technological development. They would not make any treaty with any other Earth nation.

They could abduct humans on a limited and periodic basis for the purposes of medical examination and monitoring of our development, with the stipulation that the humans would not be harmed, would be returned to their point of abduction, would have no memory of the event, and that the alien nation would furnish "Majesty Twelve" (who ever this is!), with a list of all human contacts and abductees on a regularly scheduled basis. [19]"

Click [19] to see the full story regarding the agreement.
 
sio kweli
sikia technology ndiyo imeleta issue za Genetically (GMO), issue za artificial foods ambazo zmepelekea kuongezeka kwa magonjwa ya kila aina
Teknolojia haipunguzi maisha, inaongeza maisha. Em fuatilia tena vizuri utagundua siku hizi binadamu wanaishi miaka mingi sana kuliko zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna society inasema
"We will create many religions and we will own both of them"
Yes sababu its all contradictory bullshit written by assholes and followed by desperate people who have nothing better to do with their lives, same as many other religious books.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi sapoti kitu nisichokielewa. Mungu kashindwa kufanya nielewe..ni tatizo lake sio langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
huwa najiuliza ile habar ya shetan kushindwa vita mbingun then kutupwa dunian apambane na wanadaamu huwa sielew kabisa.

how comes kiumbe mwenye uwezo wa kupigana na muumbaji (according to their writtings) aje apigane na mwanadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
areafiftyone,

Hizo habari za treaties na Alien usiziamini sana kwa sababu zote bado ni theories tu, ni watu wamekaa wakaandika wanachofikiria ili kionekane machoni mwa watu kwamba ni kweli. Kuna group la watu huko US wanadhan serikali yao ina mikataba na aliens na ndio maana walitaka hata kuingia AREA 51 kuona kinachoendelea humo coz wanafikiri wamo aliens.

Kuhusu AI ni technology ambayo lazima ingekuja tu kutokana na mazingira na vifaa vilivyopo.

Kuna ufumbuzi ambao huwa ni kama kidonda kibichi. Ukitoa gamba la juu basi lazima damu na usaa vitoke. Na hio ndio concept ilozalisha uwepo wa AI kutokana na uvumbuzi wa computers.

Baada ya computers kuwepo AI pioneers akiwemo McCarthy walihitaji kuzifanya computer zifanye kazi zenyewe kama zenyewe(automated) na wakaanza kwa kuandika code ambazo zinabeba if...else conditions kwa kila possible situation ambayo computer ingeweza kukutana nayo.

Lakini hio njia ikawa ndefu sana na inachosa so miaka ya baadae kdg ndo ikaanza kutumika hii concept ya MACHINE LEARNING kwenye field ya AI (kabla ilionekana ni theory tu)Ambapo baada ya kucode kila posible condition tunatumia data husika tu ambazo tutatrain machine nazo na baadae tutaitest kwa real events kuangalia kama itatupa correct approximation.

Lakini na hio MACHINE LEARNING ikawa haijakidhi zile conditions ambazo hazina test dataset Ndipo ikagindulika DEEP LEARNING ambayo yenyewe inatumia layers mbalimbali kutafuta relationship kati ya data na kuadjust weights bila kuwa na haja ya test dataset.

So nadhan umeona jinsi ufumbuzi mmoja ulivyozalisha fumbuzi nyingine na ndio maana nakupinga unaposema hii tech ya AI imeletwa na Aliens. AI ni tech ambayo lazima ingefikiwa tu kutokana na uvumbuzi wa computer kuanzia enzi za sliding rule na Abacus.

Kali Linux
 
Katika series ya development kwenye field ya computer science AI was inevitable. Kuanzia kutengeneza basic computers kama vle sliding rule ndipo kulionesha mwanga na technologies nyingi lazima zitakuja tu. Na hapa tulipo kwa sasa ni kama 20% ya ambacho kitakua accomplished kwenye computer science.


Dont bring Alien stuffs with real technological inventions.
 
Nilikua nawaza zile gate za nyumba mwenye nyumba akifika zinajifungua automatic bila control ya mtu inawezekana

kelphin kepph
Iris scanner zinatumika. Ni kama fingerprint sema Iris oattern iko safe zaidi coz fingerprint kuzitengeneza ni rahisi kwa baadhi ya watundu wa tech
 
kali linux,
Ni kweli mkuu 100%,kwa sababu viongozi mbali mbali wa Marekani wamekiri kwamba swala hilo kweli lipo.Who are we to say sio kweli,ikiwa wao wenyewe wamekiri.

Infact taarifa zilizopo ni kwamba serikali ya Marekani ilikuwa itoe tamko 2008 kuhusu uwepo wa swala hilo. Halafu, mbona haipo sababu yeyote ya wao kudanganya?

Unafahamu kinachoendelea Area 51?

Wewe acha tu, tuishie hapo.
 
Sijakuelewa mkuu. Umemaanisha nini?
Kwenye andiko lako umeandika issue inayoelezea kuungana kwa makanisa na ndipo nikakupa NOTE hiyo na kwa kuongezea kuna hii...

Daniel 12:4 Lakini wewe, Ee Danielii, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.
 
Kwenye andiko lako umeandika issue inayoelezea kuungana kwa makanisa na ndipo nikakupa NOTE hiyo na kwa kuongezea kuna hii...

Daniel 12:4 Lakini wewe, Ee Danielii, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.
Sawa sawa mkuu nimekuelewa
 
kali linux,
Mkuu machine learning algorithms ziko tokea miaka ya 1990's Tena inaweza ikawa nyuma said kilichokua kinaizuia ni hakukua na data kama Sasa hivi za ku-train model sio kweli kwamba imeanza 2010.

Na deep learning ina deal na data ambazo ni picha na text
 
Mkuu machine learning algorithms ziko tokea miaka ya 1990's Tena inaweza ikawa nyuma said kilichokua kinaizuia ni hakukua na data kama Sasa hivi za ku-train model sio kweli kwamba imeanza 2010

Na deep learning ina deal na data ambazo ni picha na text
Unachosema ni sawa lkn mie nilimaanisha mwaka ambapo ML imeanza kutumika practically, na huo ni mda ambapo issue ya data availability haikua tatizo tena.

The rest is history
 
Iris scanner zinatumika. Ni kama fingerprint sema Iris oattern iko safe zaidi coz fingerprint kuzitengeneza ni rahisi kwa baadhi ya watundu wa tech
Kwa tanzania naweza kupata wapi wataalamu wa "gamma-rays"? Kuna project nataka kufanya.
 
Uzi una makosa mengi lakini sina muda wa kusahihisha. Baadhi ya mambo uliyoandika ndiyo yaliyopelekea watafiti kukataa katakata kuamini au kuyachukulia kwa uzito maandiko yasiyokuwa na rejea na vyanzo vya kuaminika.

Machine haifikirii kama binadamu bali inakuwa "programmed or trained" "kumimic" matendo ya binadamu au "kureact/kurespond" kwa kutegemea "stimuli" katika mazingira husika. Unaweza kupata "glimpse" hapa: Introduction to Machine Learning and TensorFlow With Python
 
Back
Top Bottom