si vizuri kuombeana mabaya alichokuwa anakipigania ulimboka ni pamoja na uwapo wa madawa na vifaa tiba katika hospitali ili kufanya madaktari kufanya kazi kwa urahisi sana.kama unaelewa system ya afya hapa nchini usingekuwa unalaumu mgomo wa madaktari kila siku tunasikia madaktari au manesi wanalaumiwa kwa lugha chafu hii ni kutokana na kuwa wachache na hivyo kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wote na kuwaridhisha pili tumekuwa tunalalamika hakuna dawa hii ndio jambo lingine walikuwa nao wanalisimamia na kupinga watu kulazwa chini wakatoi serikali inazo fedha za kutosha katika kuweza kutatua matatizo haya. fikiria kwa umakini utajua uwezo wa serikali kutatua tatizo upo lakini hakuna dhamira dhati ya kutatua hili tatizo,kama tumeweza kufanya uchaguzi kwa mamilioni,sherehe za mabilioni za uhuru kwa nini tushindwe kufanya maamuzi magumu katika sekta ya afya?
by the way Bob Marley once say that How long shall they kill our prophet while we stand aside and look.
Of course..ikumbukwe kuwa kama "polisi njaa" wangetumika then kusingekuwa na coordination na uongozi wa polisi...Mfano alipopolekwa kituo cha polisi bunju Dr Uli hakupewa msaada wowote na kituo ilhali wakijua alikuwa amedhurika vibaya - hii inamaanisha tayari walikuwa na mwongozo kutoka juu kuwa wasihangaike kumpeleka hospitali. Pili, ukiangalia uongozi wa juu wa polisi na wizara ya mambo ya ndani inatetea huku wakijichanganya - hii inamaanisha uhusika wao hauna mashaka hata kidogo. Tatu, Polisi aliyepewa kibano pale Moi alisikika akiongea na Radiocall kuwa " Ulimboka kafikishwa MOI lakini bado yuko hai.....ikimaanisha kuna mpango uliokuwepo ambao walidhani angekuwa keshafariki hadi kufikia muda huo. kwa hiyo ni kuwa alikuwa anauarifu utawala kuwa jamaa bado hajafa. Yaani inasikitisha ila at the same time inaonesha jinsi ambavyo serikali ya tz haina akili hata kidogo na hasa baada ya JK aka (raisi mdhaifu) alipojipeleka hospitali kama kawaida yake na yale maneno yake ya kukariri" Serikali inampa pole dokta na tunamtakia kupona haraka na naomba madaktari wawe na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu" alafu huyoooo anasafiri leo nje ya nchi asikilizie soo kwa njia ya simu. Shame shame shame on the weak presida mwiba kura
Mkirua, Unakumbuka Pinda katika moja wapo ya mabunge ya hivi kiaribuni alijaribu kuwajibika hasa kulinda heshima yake, ila unadhani nini kilitokea? Katika uchaguzi uliopita, wakati wanatangaza matokeo ya Uraisi unakumbuka reaction ya Raisi pale wana-CCM walipokuwa wanamshangilia kwa nderemo na vifijo (hakufurahishwa na waliwanyamazisha maramoja, akiwa amejaa na hasira). Ni hivi, hata kama ni wewe, itategemea sana inteligence system inasimamia vipi maswala ya uongozi, je iko juu yako wewe kama mtawala au uko juu yake? Na inapaswa kuwa smart katika uongozi uwe na counter-inteligence system ili kuvalidate most of the information. Kinachojiri ni kuwa hata kama watataka kuwajibika leo, bado Inteligence system inaweza ikawazuia kufanya hivyo kwa minajili ya usalama wa nchi.
The last resort ya uwajibikaji ambayo huwa haitegemei inteligensia, ni public pressure, which has never been our tradition, and has never been enough in our country (with exception of Arusha and Mbeya which make it isolated cases due to histoy). Haijalishi Kiongozi huyo ni msafi kiasi gani ila basi tu public hairidhishwi na staili yake ya ungozi.
pinda na serikali yake.. Watalipwa na mungu kwa dhambi.. Yao!
Wewe mwenye Mahaba na Rais, mbona inaonekana unaongozwa na tumbo tu!?....wengi wenu mna chuki binafsi na rais,hili litawasumbua sana kiasi mna shindwa kuangalia mambo kwa umakini badala yake mnaongozwa na chuki.
Hebu fikiria, ung'olewe meno bila ganzi, ung'olewe kucha na komeo, uvunjwe taya na fuvu la kichwa.... hili haliwezi kuisha hivi ni lazima, kwa namna yoyote ile, iko siku kuna mtu atalipia..... liwalo na liwe.....
Mazingira na mpango wa tukio haukutekelezwa kitaalamu kwa kiwango cha wale wenye kazi hiyo unaofikiria wewe. Lazima tutizame pande zote kwani mpango na njama yenyewe haikufanywa kitaalamu. Tunakumbuka wengi waliokufa katika mazingira tata mfano Kolimba, Katabalo nk. Inaonekana waliofanya tukio hili hawana uzoefu unaomaanisha wewe.
pinda na serikali yake.. Watalipwa na mungu kwa dhambi.. Yao!
If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??
and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........
2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................
Sote tunajua kilichofanyika kwa Dr ulimboka naamini walijiliziha amekufa maana wasingemuacha akiwa hai, kwakuwa Mungu kawaumbua tunaomba mlioko karibu naye mtujuze anahali gani. Pia mkiona inafaa wekeni namba ya M-pesa tumchangie akatibiwe mahali salama zaidi
Madaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!
acha uhuni, kwa hiyo hata wali polisi walioingia msikitini mwembechai inawezekana hawakupata ruhusa serikalini ni watu tu walikuwa wanawatumia?
uamsho walivyopigwa mabomu mpaka msikitini utakubaliana nami kuwa yawezekana na mtu mwenye pesa kawaagiza tu?