A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Kesho nasi tutawajibu kwa vitendo kwa maandamano liwalo na liwe madaktari mjitokezi saa tatu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii

Na muda huo wa saa tatu, Waziri mkubwa amehaidi bungeni kutoa taarifa rasmi ya serekali. Nahisi atawafukuza kazi madaktari wote, Au atatoa baraka kwa polisi waendelee kutoa vichapo kwa wanaogoma kufanya kazi. Pia hayo maandamano yenu nadhani mjiandae na chupa za maji, maana kamanda kova hatakuwa mbali nanyi. Mie nawashauri ma docta, ili kumfariji Dr. Ulimboka nadhani uamuzi sahihi kwenu ni kugoma kwa 100% hadi kieleweke, vinginevyo nitawaona nyie hamna tofauti na migomo ya walimu na Tucta.
 
polisi waangalie record ya simu ni nani aliyemuita Dr usiku ule!kisha Wamuanike mnazi mmoja tumchinje

Hiyo inshu ni yao wenyewe wanaijua A to Z,hapo tusubiri kupigwa changa la macho tu.
 
naona yalio tokea libya , na syria sasa yanakuja tanzania ..utabiti wa mrema....

huko libya wakundi ya kutumika walikua wakiua watu then akisingiziwa ghadafi na serikali yake..hatimae tunajua kilichofata...
na huko syria wauaji walio funzwa vyema wanauwa vichanga , watoto na wanawake then wanasingiziwa majeshi ya serikali...propaganda zinapigwa dunia nzima kwamba serikali ya Bashar assad inaua...mbona huko nyuma hajamuua hata sisismizi ?
mbinu hizi zilitumika sehemu nyingi ..lengo kuifanya jamii waichukie serikali yao....
naomba serikali ichuke tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi wa kina na pia ushauri wa mrema na kauli yake kwamba aliwahi kuitwa na ubalozi mmoja ili kufanya mambo kama haya lakini mrema alikua shujaa na mzalendo halisi akakataa.

hakuna mantiki kwa serikali au pinda au kikwete kuwa wanahusika...serikali sana sana ingewafukuza hawa madaktari na kuwapiga marufuku kufanya shughuli yoyote ndani ya nchi.basi ingetosha kuwa ni adabu ya kwao kugoma kwa sababu za kisiasa.
tujihadhari...
 
Kweli Jasusi hawa jamaa wanaiga mambo ya nyang'au wa Kenya walipomuua J.M. Kariuki na kumtupa kwenye msitu wa Ngong!!Hii hatari sana kwa Tanzania inaelekea amani ndio inatoweka sasa!They are turning the country into killing fields.!!

Hapana mambo ya kariuki , kuna vibaraka wanaotumiwa na waarabu na masultani kuvunja muungano wetu na kuiharibu amani ya nchi yetu na kurudisha utumwa

Hivi ndivyo inapasa kushughulikiwa hawa vibaraka wa masultani na wengine wakileta chokochoko wataona joto ya jiwe
 
Naona yalio tokea libya , na syria sasa yanakuja tanzania ..utabiti wa mrema....

Huko libya wakundi ya kutumika walikua wakiua watu then akisingiziwa ghadafi na serikali yake..hatimae tunajua kilichofata...
na huko syria wauaji walio funzwa vyema wanauwa vichanga , watoto na wanawake then wanasingiziwa majeshi ya serikali...propaganda zinapigwa dunia nzima kwamba serikali ya Bashar assad inaua...mbona huko nyuma hajamuua hata sisismizi ?
mbinu hizi zilitumika sehemu nyingi ..lengo kuifanya jamii waichukie serikali yao....

Naomba serikali ichuke tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi wa kina na pia ushauri wa mrema na kauli yake kwamba aliwahi kuitwa na ubalozi mmoja ili kufanya mambo kama haya lakini mrema alikua shujaa na mzalendo halisi akakataa.

Hakuna mantiki kwa serikali au pinda au kikwete kuwa wanahusika...serikali sana sana ingewafukuza hawa madaktari na kuwapiga marufuku kufanya shughuli yoyote ndani ya nchi.basi ingetosha kuwa ni adabu ya kwao kugoma kwa sababu za kisiasa.
tujihadhari...
 
angekuwa ndg yako ungesema hivyo.

Hilo suala si la kindugu wala kirafiki maana linahusu nchi nzima.Sina imani nae kutokana na kuingiza urafiki kwenye issue ya madaktari wote,na hayo yamempata maana SI MTU MAKINI.Ukiwa unafanya kazi inahusu nchi tena issue kubwa na yenye msukosuko na inayotengeneza maadui kama hiyo,huwezi kuitwa na mtu usiyemfahamu na ikaenda tena na rafiki yako!!!!?He is not reliable,mchumia tumbo huyo.Siungi mkono yaliyompata na nampa pole sana,lakini kwa kiasi kikubwa yamemtokea maana sio makini na yuko after money.
 
Jana kuna mtu hapa jamii forum aliuliza kazi ya usalama wa taifa ni ipi?. Wakati wasomali wanaingia toka somalia mpaka dodoma usalama hawajui. Sasa nadhan atakuwa ameshajua kazi yao.
 
Polenu kwa yote mm namsikiliza Dr Nchimbi Waziri Mambp ya Ndani anafafanua Dr Uli alivyotoka Leaders Club hadi kukutana na Juma Mgaza huko Mabwepande
 
Tetesi: Kukamatwa na kuteswa kwa viongozi wa migomo iliwahi pia kumkuta raisi wa daruso (Tweve)
 
Jamani nanyi msiwe wajinga, kumbuken wm pinda kwenye ule mgomo wa kwanza amewahi kusema dr ulimboka amewasumbua kwa muda mrefu. Mmesahau?.Sasa kwanini ikuru isihusike.
 
Daah yaani ikulu ihusike na upuuzi huu huyu dr ni kainzi tu na hii cyo move ya serikali jamani mko dunia gani nyie cku hz kuna teknolojia km serekale ingetaka kumuondoa kiulaiiiniii angeondoka na ingekuwa poa tu mnaleta za abunuasi hapa
Sijui kama unajua unaongelea usalama wa Tanzania,hawana ufahamu huo unaoufikiria wewe na wala hawawezi kuwa
na muda wa kuwaza madhara yanayoweza kutokea kwa ujinga waliofanya.Tatizo ni udhaifu wa utendaji wa serikali.
 
Back
Top Bottom