A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Kinachotakiwa sasa ni ukombozi watanzania tusirudi nyuma hawa jamaa sasa mnaona sura zao halisi "hiki kisiwa cha amani"eti anakwenda kumshauri mgambe kule zimbabwe, eti anakwenda kushauri kule kenya.

Yeye mwenyewe yalimshinda ya zanzibar.Hii serikali imevaa ngozi ya kondoo kumbe chui mbaya sana.Hii ishala inatupa tamko la tuamke sasa na kuuondoa uongozi wa ccm ,na mafisadi zake ,na wahuni wake wote wanaofanya ushenzi huu. Hakuna mtu atavumilia hapa.
 
eti failed assassination..mi siamini a trained assassin anaezaje kushindwa kufanikisha kumuondoa civillian target..this is BS. it was more of a msg than anything near assassination..assasins hawatoi kipigo, wao wanagawa mauti tu na kuishia in a thin air.
 
sure. But we wish him all the best. Permanent care 24/7 better death. Pia hao wauaji are likely professions b'se lengo lao la kutoa ujumbe limefikiwa. Hawakutaka kumuua bali kumpa mateso ya kudumu
 
Ni akili ndogo kweli kweli kufanya kitendo kama hiki kwa mtu ambaye kimsingi ameshaonesha kuwa ni kiongozi wa jambo fulani. Niliposikia tu nikaanza hisi ujinga umefanyika; siwezi weka hitimisho ila inaonekana kuna ujinga umefanyika. Ikiwa ndivyo basi ni wakati wa kuweza kuonesha uhalisia wa mambo. Je ni jambo gani Serikali inataka kulitamka hapo kesho, wanataka wafukuza wote kwa kuwa wameshaomba madaktari toka nchi jirani. Je watawalipa nini, sio kwa kiwango cha dola? kwanini kuwapa mbwa chakula cha watoto?

Watanzania wenzangu tukikaa kimya ama tukiamka bado maharamia wameamua kuua ili kudhoofisha mioyo ya kupigania haki. Ni ama tuamke na tuwe kwenye harakati za kujikomboa, ikiwa tutateswa tukutwe kwenye harakati, ama tukae kimya tuteswe, tuuwawe hali tumejikunyata. Saa ya Ukombozi ni sasa, saa iliyokubalika ndio hii.

Freedom is coming, Yes soon we are going to be there. Ukombozi kwa mara ya pili.
 
Hapa sasa inaonesha dhahiri, tuliowapa madaraka wamefikia ukomo wa kufikiri, ikiwa hoja inanyamazishwa kwa kuua, kutesa ama kuumiza, basi ubongo umefika mwisho. Hakuna wakati watu watakaa kimya kwa kuwa unawatisha ama kuwaua... Historia inaeleza... Utakapoua mmoja watasimama kumi, ukiwaua kumi watasimama mia, ukiwaua elfu basi laki na hata milioni watasimama, wataweka vifua vyao uwaue maana utafika wakati hawaogopi tena kufa wanaona kama njia ya kukomoa... je ukiwamaliza utamuongoza nani? Je Hoja yaweza nyamazishwa kwa kuua, ama kutesa?
Uelewa wa watu umepanuka- ila sina hakika kama uelewa na uwezo wa viongozi nao umepanuka...
 
Ni akili ndogo kweli kweli kufanya kitendo kama hiki kwa mtu ambaye kimsingi ameshaonesha kuwa ni kiongozi wa jambo fulani. Niliposikia tu nikaanza hisi ujinga umefanyika; siwezi weka hitimisho ila inaonekana kuna ujinga umefanyika. Ikiwa ndivyo basi ni wakati wa kuweza kuonesha uhalisia wa mambo. Je ni jambo gani Serikali inataka kulitamka hapo kesho, wanataka wafukuza wote kwa kuwa wameshaomba madaktari toka nchi jirani. Je watawalipa nini, sio kwa kiwango cha dola? kwanini kuwapa mbwa chakula cha watoto?

Watanzania wenzangu tukikaa kimya ama tukiamka bado maharamia wameamua kuua ili kudhoofisha mioyo ya kupigania haki. Ni ama tuamke na tuwe kwenye harakati za kujikomboa, ikiwa tutateswa tukutwe kwenye harakati, ama tukae kimya tuteswe, tuuwawe hali tumejikunyata. Saa ya Ukombozi ni sasa, saa iliyokubalika ndio hii.

Freedom is coming, Yes soon we are going to be there. Ukombozi kwa mara ya pili.
Ukombozi gani unaouongelea? tufupishe mazungumzo, je upo tayari kulipa sales tax/VAT ya 50% or so, na/au PAYE ya 50+ % kufidia madai ya madaktari? au unadhani watalipwa from where?
 
Inategemea sana uelekeo wa hoja yako ninini, siangalii suala la 50% Tax PAYE or whatever, tena sikusukumwa na suala la uhalali ama uharamu wa mgomo wa madaktari; Kwangu ninachoangalia ni jinsi ya kushughulika na watu na hoja. Vitisho, kujimwambafai na kauli za liwalo na liwe sio msingi wa kuweza pata suluhisho kamwe. Hata hiyo PAYE na kodi inayochukuliwa sasa, sijaiona uhalisi wake. Na hapo ndipo kwangu ninapozungumzia ukombozi wa mara ya pili, wakati ambapo Tax, VAT, PAYE zitaweza kuwa kwa manufaa sio ya madaktari, wabunge, au serikali na wachache wenye vyeo bali kwa kila mtanzania. THAT IS WHAT MEANT AS SECOND LIBERATION. Ukombozi huo ni lazima na tunauhitaji, na hizi ndio dalili za kuelekea kwenye harakati halisi za kuvuka toka tulipo.
 
Huko tunakokwenda mimi sijui! Mwenyezi Mungu tuokoe. Hii ni sala naamini wana JF mtasema Amina
 
Usalama wa taifa mgekuwa kwa ajili ya taifa na mgekuwa mnajua kazi yenu, jk na pinda sasa hv wangekuwa mortually tayari kwa mazishi yao. Lakn sasa hv mko busy kupotosha ukweli. Ukweli haupotoshwi. Mlitumwa kuua nyie mkajeruhi tu!
 
Inategemea sana uelekeo wa hoja yako ninini, siangalii suala la 50% Tax PAYE or whatever, tena sikusukumwa na suala la uhalali ama uharamu wa mgomo wa madaktari; Kwangu ninachoangalia ni jinsi ya kushughulika na watu na hoja. Vitisho, kujimwambafai na kauli za liwalo na liwe sio msingi wa kuweza pata suluhisho kamwe. Hata hiyo PAYE na kodi inayochukuliwa sasa, sijaiona uhalisi wake. Na hapo ndipo kwangu ninapozungumzia ukombozi wa mara ya pili, wakati ambapo Tax, VAT, PAYE zitaweza kuwa kwa manufaa sio ya madaktari, wabunge, au serikali na wachache wenye vyeo bali kwa kila mtanzania. THAT IS WHAT MEANT AS SECOND LIBERATION. Ukombozi huo ni lazima na tunauhitaji, na hizi ndio dalili za kuelekea kwenye harakati halisi za kuvuka toka tulipo.
cha ajabu ni kua, mbinu hiyohiyo ya vitisho na kuishikilia serikali mateka ndo inayotumiwa na madaktari, na ultimately wavuja-jasho ndio tunalipa gharama kwa vifo na madhila ya magonjwa kukosa tiba. lakini mtesi jinamizi mmoja anapewa free-ride to top-up his blank cheque wakati mwingine anakua condemned.
 
Ukombozi gani unaouongelea? tufupishe mazungumzo, je upo tayari kulipa sales tax/VAT ya 50% or so, na/au PAYE ya 50+ % kufidia madai ya madaktari? au unadhani watalipwa from where?

Sorry...nakushauri urejee darasani baada ya kujitoa ufahamu.
 
Naona yalio tokea libya , na syria sasa yanakuja tanzania ..utabiti wa mrema....

Huko libya wakundi ya kutumika walikua wakiua watu then akisingiziwa ghadafi na serikali yake..hatimae tunajua kilichofata...
na huko syria wauaji walio funzwa vyema wanauwa vichanga , watoto na wanawake then wanasingiziwa majeshi ya serikali...propaganda zinapigwa dunia nzima kwamba serikali ya Bashar assad inaua...mbona huko nyuma hajamuua hata sisismizi ?
mbinu hizi zilitumika sehemu nyingi ..lengo kuifanya jamii waichukie serikali yao....

Naomba serikali ichuke tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi wa kina na pia ushauri wa mrema na kauli yake kwamba aliwahi kuitwa na ubalozi mmoja ili kufanya mambo kama haya lakini mrema alikua shujaa na mzalendo halisi akakataa.

Hakuna mantiki kwa serikali au pinda au kikwete kuwa wanahusika...serikali sana sana ingewafukuza hawa madaktari na kuwapiga marufuku kufanya shughuli yoyote ndani ya nchi.basi ingetosha kuwa ni adabu ya kwao kugoma kwa sababu za kisiasa.
tujihadhari...
Wewe hujui kinachoendelea endelea kutafuta huruma ya serikali dhaifu.
 
Back
Top Bottom