MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,353
Jana nimeambiwa na maza kwamba walienda hadi kwa Makonda na wanataka wakianzishe tena,Kwani wamefungiwa tena?
Mimi nikasema vyema kabisaa, wakinukishe tena kwasababu yale Makelele yanaweza kumuua jirani yangu Mama Mutafungwa.
