RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,877
- 129,893
Ila naelewa kwanini wanamfungia Buckets kila mara.Hahahaha,
Didi's na Jacki's malele yake siyo perpetual bwana!
😀😀😀😀😀😀
Ila naelewa kwanini wanamfungia Buckets kila mara.Hahahaha,
Didi's na Jacki's malele yake siyo perpetual bwana!
😀😀😀😀😀😀
Naona afadhari wewe huyu wa kwangu hapana jamaniKwani huyo shem nae kama mimi haelewi marafiki wa kiume?
Ukiwa huna hela.....unakua na hasira na stress sana....kila kitu unakiona hakikosa sawa...chill relax be positive.







Kweli na ninavyopenda kucheka nitakucheka na nikishapiga chupa zangu nitakucheka sanaSiku ukija kuniona hutaamini....hata kuongea siwezi.
Ila naelewa kwanini wanamfungia Buckets kila mara.
Mwenyewe kanichekesha sana leoHahhahaha yaan rrondo nikikufikilia nacheka sana



Hahahahahahaha,Ila acheni kidogo tule bata hata mwaka huu uishe...ule mzuka wa mle ndani si mchezo! Hawa akina Mzigua90 @shinie wamejaa mle balaa
Unavujisha INTEL.......ngoja nikamwabie Ayubu!Hahahahahahaha,
Wamewapania kishenzi leo nilikuwa nasikia wanafanya kikao wanajiandaa kwenda kwa Makonda nikacheka kweli!
Na mi sitaki uachike maana ilivyo kazi kupata mwanaume mji huuYaan nitafungiwa nilale huko huko labda awe amesafiri ndio nitarudi mda wowote
Hapo sasaNdio mana nakupenda na uzee huu naachika atanitaka nani shunie mm
Unavujisha INTEL.......ngoja nikamwabie Ayubu!
Abiria chunga mzigo wakoNaona afadhari wewe huyu wa kwangu hapana jamani
Kumbe unapenda kucheka eeh ukishaziweka. Mi nina rafiki zangu hao nikilewa nao nacheka utasema nimewekewa nini sijui.Kweli na ninavyopenda kucheka nitakucheka na nikishapiga chupa zangu nitakucheka sana
wewe mzee wa 21.Sisi wazee hatuendagi huko
Enheee. Nilitaka kuuliza swali ila nimeliweka.Unavujisha INTEL.......ngoja nikamwabie Ayubu!
AhahhahahahMwenyewe kanichekesha sana leo![]()
OhooooooooEnheee. Nilitaka kuuliza swali ila nimeliweka.
Yaan nitaanza kudanga sasa na uzee huh nani atakutakaNa mi sitaki uachike maana ilivyo kazi kupata mwanaume mji huu