A day spent well with my bloods..

A day spent well with my bloods..

Sasa huyu si ndio mzuri maanake hata kusumbua tena?!
Kwani nampa asinisumbue au tule raha. Mi natakaga nikimpa mwanaume nimpe na kesho na kesho kutwa maana mpaka nikimpa aiseee ujue nimemuelewa kweli. Mambo ya kuonjana halafu kesho nakua kama mademu zako wengine hapana.
 
Mkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek

Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?

Nimerudi jana usiku nikapewa habari za Buckets,
Nimecheka sana sanaaa. Walizidi makelele watu hatulali......!
 
Nimerudi jana usiku nikapewa habari za Buckets,
Nimecheka sana sanaaa. Walizidi makelele watu hatulali......!
Mbona wameshafunguliwa ijumaa watu walikula bata pale kama kawaida.
Unafungia bucket unaacha Tips ni haki kweli
 
Back
Top Bottom