RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,879
- 129,898
M-bichi kabisa....weekend hii imeanza njoo maeneo nikununulie Bucket ya Heineken.Hapana nina 17-21
M-bichi kabisa....weekend hii imeanza njoo maeneo nikununulie Bucket ya Heineken.Hapana nina 17-21
Yaan me ni mdau mwenyewe jamaniHahah kumbe mdau mkuu
Uwe unaniita basi na weweWanawake walevi...
Acha tu mama yaanhaaaaaaaaahh
Nakuja na mmM-bichi kabisa....weekend hii imeanza njoo maeneo nikununulie Bucket ya Heineken.
alaaa kumbe..Heineken jaman usinifanyie hivyo
Hahahhaha zitatosha sana utani huo siutaki wa kutamanishanaalaaa kumbe..
nikikutumia katon moja itatosha?
Vitu haramu siku zte vitamu...
mtu kapiga picha alafu kaweka na hela mezani mi naonaga kama dizaini flani ya ulimbukeni hivi.hela zenyewe unakuta zakukaa kwenye wallet sasa sjui kulikuwa kuna haja gani ya kuziweka mezani.eniwei ni mambo ya vijana.Mkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek
Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?
observation kali!Mkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek
Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?
ashukuriwe Mungu kwa kweliHaahahahaa. Kwanza sasa hivi nimepunguza kunywa kabisa. Muda ule pale natamani Heineken za huyu kaka nilikuitwa naitwa Triple 7 ila nikamshinda shetani nikalala
kwa hali hii bora hata umepunguza aiseeMi naweza kunywa kila siku aisee sema nisiwe na stress maana nikiwa na stress nalewa haraka halafu naweza fanya tukio litakalonifanya nisiguse pombe hata week 3. Sema muda kweli sijafanya tukio la pombe sababu sinywi mfululizo. Ingekua enzi zile sina kazi mbona saa hizi ndo ningekua namalizia malizia kunywa nilale![]()
![]()
![]()
Jibu unalijua.Nakuja na mm
😀😀😀😀Raha sana jamani. Kuna siku tulienda 777 saa saba usiku hapo tumetoka kwenye harusi tumeanza kunywa saa 2 sijui. Tulikaa 777 mpaka kesho yake saa kumi na moja jioni. Ikabidi tuchukue room regency kwa ajili ya kuoga na kubadilisha waliochoka wanalala kwenye gari. Yale maisha ngoja nitulie niyaanze yalikua matamuu![]()
![]()
![]()
kwa hali hii bora hata umepunguza aisee
. Mungu mwema sana kunipa huyu mtoto kidogo naogopa hata kukaa nje masaa 24 la sivyooooooWeekend hii Bucket moja ya Heineken kwako juu yangu.Uwe unaniita basi na wewe
😀😀😀na kweli mlikuwa hamtongozeki.Haki nimepunguza sanaaa. Ilifikia point marafiki zetu wakasema wanaelewa kwanini hatuna bfs maana tuko nao muda wote nani angeweza kuanza kututongoza tukiwa nao kwanza.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
. Mungu mwema sana kunipa huyu mtoto kidogo naogopa hata kukaa nje masaa 24 la sivyoooooo
Yaani wewe ukiingia kila Bar watu wanakujua! Nikipata demu design hii hata wiki haipiti, natambaa!Haki nimepunguza sanaaa. Ilifikia point marafiki zetu wakasema wanaelewa kwanini hatuna bfs maana tuko nao muda wote nani angeweza kuanza kututongoza tukiwa nao kwanza.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
. Mungu mwema sana kunipa huyu mtoto kidogo naogopa hata kukaa nje masaa 24 la sivyoooooo