RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,419
- 135,059
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Matatizo yao wanamsingizia Buckets!Hahahaha,
INTEL wakati wamaza wa mtaani ndiyo wanalalamika hadharani ??
Waume zao wanajipatia vimwana hapo aiseee, hawakamatiki!
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Matatizo yao wanamsingizia Buckets!Hahahaha,
INTEL wakati wamaza wa mtaani ndiyo wanalalamika hadharani ??
Waume zao wanajipatia vimwana hapo aiseee, hawakamatiki!
Zikishaingia Heineken 4 hivii au 5 nacheka sana yaan halaf naanza kuwa muongeaji kitu kishapanda kichwaniKumbe unapenda kucheka eeh ukishaziweka. Mi nina rafiki zangu hao nikilewa nao nacheka utasema nimewekewa nini sijui.
Ni kuongea tu au kuna reactions nyingine nijiandae kisaikolojia?Zikishaingia Heineken 4 hivii au 5 nacheka sana yaan halaf naanza kuwa muongeaji kitu kishapanda kichwani
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Matatizo yao wanamsingizia Buckets!
Mh ujiandae kisaikolojia na nini tena jamaniNi kuongea tu au kuna reactions nyingine nijiandae kisaikolojia?
Eeeeh. Si nimeanza kutumika mapemawewe mzee wa 21.
Eeeh ntakuuliza tu siku kuhusu boss mtoto Ayubu na jamaa flani hivi nae anasema ana share paleOhoooooooo
Unadanga wazee wenzio wakunyumba.Yaan nitaanza kudanga sasa na uzee huh nani atakutaka
Bora kuongea kuliko mimi nacheza kama nalipwa.Zikishaingia Heineken 4 hivii au 5 nacheka sana yaan halaf naanza kuwa muongeaji kitu kishapanda kichwani
Wazee wenzangu wanawataka vibinti vidogo haya labda nidangiwe na viben10 na vile sivipendi nitakufwa na hamu zanguUnadanga wazee wenzio wakunyumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora kuongea kuliko mimi nacheza kama nalipwa.
Na uzee wako huo huo wakunyumba unapambana na vijana. Kwanza mjini hapa hamna mzeeWazee wenzangu wanawataka vibinti vidogo haya labda nidangiwe na viben10 na vile sivipendi nitakufwa na hamu zangu
Vijana vitanisumbua nikiwapa show ya kibabe wataanza kunisumbua jamanNa uzee wako huo huo wakunyumba unapambana na vijana. Kwanza mjini hapa hamna mzee
Sawa bwana ngoja na mimi nikale maisha niagize nusu kuku na wana kama sita hivi.Ukiwa huna hela.....unakua na hasira na stress sana....kila kitu unakiona hakikosa sawa...chill relax be positive.
Itapendeza sanadonlucchese itabidi nikutafute nikupeleke sehemu tukapate vitu kabla sijasepa!
Tukapige makange ya nguvu na kinywaji kizitoooo...
Itapendeza sana
bora wako mara 100Naona afadhari wewe huyu wa kwangu hapana jamani
hhahha jaman mbav zanguBora kuongea kuliko mimi nacheza kama nalipwa.
anaonekana katiliiMmmh huyo anaonekana wale wanaume wa sheria sheria halafu sio waelewa yani hawezi kukuona na mtu akaamini ni marafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].