A day spent well with my bloods..

A day spent well with my bloods..

Maisha ndo haya haya.. Kula maisha
Anakula masiha na nyama ya mdudu nusu kilo na ndizi mbili, kisha anasema hapo yupo na wana, wanalamba maisha au wanakula maisha? NA huto tu bia twa watoto wa chuo? Na viji Euro mezani?
 
Wapo wanwake maarufu namna hio, anamjua kila mtu sehemu za starehe. BTW hao 'kila' mtu ni wale 'wenye bar' mfano pale 777 wapo wenye bar yao.
Mama wee. Pale sasa ndo tukienda unanikata miguu. Maana nakaaga na kina Mlt na kundi lote lile la mafisi. .
 
Sasa kwa mfano wale wa 777 nawajua toka muda na ni watu siwezi wakuta sehemu nikawapita kwanza watatuma mtu waniulize "Muambie S kapata bwana anamzuzua mjini anashindwa salimia kaka zake eeh"
 
Mimi mkolomije...

Back
Top Bottom