maji safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  2. BigTall

    Serikali iwasaidie Wanakijiji hawa wa Dodoma wanateseka kwa kukosa maji safi na salama

    Nimetazama video hii ya Habarika24 TV ikanikumbusha nilipowahi kufika kwenye hiki Kijiji cha Madaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma na vingine kadhaa vya jirani nilipoenda kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Nilikuwa na mwenyeji wangu ambaye alinieleza kuwa changamoto hiyo ni ya kawaida kwao...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jonas Van Zeeland Aipambania Mvomero Kupata Maji Safi na Salama kwa Wananchi Wake

    MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE "Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland, Mbunge wa Jimbo la Mvomero "Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza maji katika...
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    Upatikanaji wa umeme vijijini mwarobaini katika kuwezesha uwepo wa maji safi na salama ili kuzuia magonjwa ya mlipuko

    Na.Elimu ya Afya Kwa Umma. Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu. Hii ni baada ya...
  5. Blender

    Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  6. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Kutofanyiwa kazi matatizo ya upatikanaji wa maji safi Dar es Salaam; Tunamtaka Waziri wa Maji kuiwajibisha DAWASA

    Kutofanyiwa kazi matatizo ya upatikanaji wa maji safi Dar es Salaam; Tunamtaka Waziri wa Maji kuiwajibisha DAWASA. Utangulizi Kwa muda wa miezi miwili Chama cha ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Maji imekuwa ikipokea changamoto juu ya hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa Mkoa wa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Vifaa vya maji safi na salama vyakabidhiwa Jimbo la Gando

    JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga kukabidhi vifaa mbalimbali vya Maji katika Shehia tano vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
  8. F

    Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

    Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani katufinyanga namna hii? Ikulu ya kifahari kwa fedha za kukopa, kweli?! Embu angalia ikulu ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    Vijiji Vyote 68 Vina Miradi ya Maji Safi na Salama

    MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo: *Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu *Vijiji 32 tayari vinatumia maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria. Usambazaji unaendelea ndani ya vijiji hivyo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mkataba wa Bilioni 4.7 Wasainiwa Kuleta Maji Safi na Salama Kata ya Mugango na Tegeruka Jimbo la Musoma Vijijini

    MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha kazi ya mradi wa Maji Kata ya Mugango na Tegeruka kwa kuzingatia muda wa mkataba. Kauli hiyo ya...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Ipi ni akili nzuri: Kutumia trilioni 7 kusambaza maji safi kila nyumba nchi yote au kuweka treni ya mwendokasi Dar mpaka Mwanza?

    Habari! Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma. Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi. Je...
  12. T

    DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  13. Analogia Malenga

    96.8% ya wakazi wa Dar wanapata maji safi yaliyoko ndani ya mita 500 kutoka walipo

    Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.
  14. Lady Whistledown

    Kibamba - Dar: Maji Safi bado Changamoto, Wananchi watumia Maji ya Madimbwi na Visima

    Kwa Miaka 3 Wakazi wa Kata ya Mpigi Magoe, eneo la Torino-Kibamba wanadaiwa kutumia Maji ya Visima na Madimbwi ambayo si salama kwa Afya zao, licha ya eneo hilo kupimwa Miundombinu ya kupitisha Maji. Mkazi wa eneo hilo, Irene Makea amesema kwa Miaka Mitatu wamekuwa wakijaza fomu lakini...
  15. beth

    Wiki ya Maji Duniani: Upatikanaji wa Maji safi na salama bado ni changamoto kwa mabilioni ya watu

    Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
  16. Going Concern

    PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani. Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje. Asante
  17. V

    Tunasafisha matank ya maji safi na salama

    Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi tope na wakati mengine magugu huota Karibuni Trinity cleaner tunatoa huduma ya kusafisha matank ya...
  18. K

    Natafuta tenda ya maji safi

    Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
Back
Top Bottom