ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
kwaiyo hao wana jf ulowataja ndo wananuka midomo au?
Taratibu hii kitu inaingia humu jf, mwishowe itakuja kuwa kama wanamuziki wa kibongo kila baada ya mstari anatajwa papaaa msofe, mara medi mpakanjia..........tayari jf ishavamiwa na facebook members!
Sipati picha mwisho wake utakuwaje........tusubiri tuone!