50% ya Watanzania wananuka midomo!!

Kule chini si kuchafu kama unavyo fikiria
ukiosha hata mara mbili tu kwa siku si mbaya..

Mdomo hata upige mswaki kila saa lazima kuna bacteria
wanao baki. Na tumia mdomo kula , fikiria ni mara ngapi
kwa siku unaweka kitu mdomoni. Na kila uwekacho mdomoni
unaacha bacteria. Kwa hiyo sikubaliani nawe hata kidogo.

Najihisi kupingana na wewe kajukuu.....!!

Hapo blue...una maana ya douching???
 
Japo mdomoni kwaingia vitu vingi hakukufanyi kuwe kuchafu kuliko HQ.
Kule downstairs ni kuchafu zaiidi kutokana na majimaji yaliyopo kule na zaidi geographical location ilivyo.
Pako so remote.
Bottom line matumizi ya mara kwa mara ya mdomo yanasaidia kuusafisha kwani ukila at the same time mdomo watakata.
HQ je?
OTIS
 
hahahah go ahead babu..
Nahitaji chemsha bongo , sema tu , Ntajaribu kukujibu ..

Na maanisha kuosha ukiwa unaoga . Maana nikisema kuoga
bila kusema kuosha huku chini mwingine anaweza asielewe.
 
Hii research mh.
But mimi wananikera sana wasio safisha vinywa!
Unashangaa mtu kaulamba msogelee aongee puu!
 
JM - kweli its for great thinkers - points za Afrodezi ni za ukweli kabisa - hata hivyo it applies to urban life rather than rural life -
hata hivyo ukiwa rural - piga mswaki ni na sugua meno na mitii kama |mdaa' huwezi nuka mdomo -

kuwa na tumbo lenye magonjwa - chafu, minyoo, safuri, etic unaweza nuka mdomo hata kama unapiga meno, fiizi, ulimi kwa makini

Wazazi tuwalee watoto wetu - kuwafundisha jinsi ya kusuga meno - na kucheki harufu midomoni mwao mara kwa mara - na watakuwa wanajali issue hizi - ACHALI MIDOMO - VIKWAPA ETC, --- UFUAJI CHUPI ETC.
 
Kwa mantiki hiyo nusu ya waliochangia hii thread wananuka midomo, lol..!
 
Kuwe ni miswaki ya kusafisha sehemu za siri pia badala ya kukazana na usafi wa kinywa tu. Kuna kabinti nilikachukua Arusha siku moja lakini tulipofika chumbani nikaamua kukaruhusu tu bila hata kukaDUU ingawa kalishanilia kama bia za 30,000 hivi.
 
hahahah go ahead babu..
Nahitaji chemsha bongo , sema tu , Ntajaribu kukujibu ..

Na maanisha kuosha ukiwa unaoga . Maana nikisema kuoga
bila kusema kuosha huku chini mwingine anaweza asielewe.

Wewe AD....,

Naona unataka kumlazimisha bubu aongee...Tulishaongea sana kuhusu mambo ya kufanya uswafi wa HQ na ilionekana wanaume hawakuwa wanajua jinsi inavyofanyika.....Walidhani kwamba huwa wanawake wanatumbukiza detergent au maji huko ndani (douching) kitu ambacho si kweli.....Naomba niishie hapo.

Ila naomba uelewe kwamba kule mahali ndio kuna highest population ya micro-frola...(micro organisms)!!

Naomba niishie hapa!!
 
Sema Mkuu Sizinga
hii ni hatari ya taifa asilimia hamisini duhhhh.

Pia nimewahi kusikia harufu mbaya ya mdomo pia inakuja
kutoka kwenye koo. ukiwa na njaa au hujala kwa mudaa
pia unaweza ku sababisha harufu mbaya ya mdomo.
.

Hapo red ndipo penye point jamani...huu mlo mmoja kwa siku ni kawaida kwa watz wa leo!!
 
JM - kweli its for great thinkers - points za Afrodezi ni za ukweli kabisa - hata hivyo it applies to urban life rather than rural life -
hata hivyo ukiwa rural - piga mswaki ni na sugua meno na mitii kama |mdaa' huwezi nuka mdomo -

kuwa na tumbo lenye magonjwa - chafu, minyoo, safuri, etic unaweza nuka mdomo hata kama unapiga meno, fiizi, ulimi kwa makini

Wazazi tuwalee watoto wetu - kuwafundisha jinsi ya kusuga meno - na kucheki harufu midomoni mwao mara kwa mara - na watakuwa wanajali issue hizi - ACHALI MIDOMO - VIKWAPA ETC, --- UFUAJI CHUPI ETC.

Ukiongeza na socks...basi unaongelea janga kubwa kabisa tena kwa vijana wa kiume na wanaume kwa ujumla!!
 
Japo mdomoni kwaingia vitu vingi hakukufanyi kuwe kuchafu kuliko HQ.
Kule downstairs ni kuchafu zaiidi kutokana na majimaji yaliyopo kule na zaidi geographical location ilivyo.
Pako so remote.
Bottom line matumizi ya mara kwa mara ya mdomo yanasaidia kuusafisha kwani ukila at the same time mdomo watakata.
HQ je?
OTIS

wao,
Okay nijuavyo mimi ni kwamba
kule chini kuna maji "yanayotoka ukeni"
Na hayo maji kazi yake ni ku tunza usafi wa sehemu hiyo.
Ila hayo maji unatakiwa kuyasafisha kila baada ya masaa kadhaa
ndio maana wana recommend kuoga at listi mara mbili kwa siku .
Harufu inatoka na hayo maji kama hayajaoshwa.
Ila mdomo umejaa bacteria kuliko kiti cha choo...

Jaribu ku google..
utapata majibu zaidi mkuu.
 
[/COLOR]

Ukiongeza na socks...basi unaongelea janga kubwa kabisa tena kwa vijana wa kiume na wanaume kwa ujumla!!

Wacheza mpira, hasa huku uswahilini wanahusika sana hapo kwenye socks...zinatema mbaya, bora hata kinywa!!
 
wao,
Okay nijuavyo mimi ni kwamba
kule chini kuna maji "yanayotoka ukeni"
Na hayo maji kazi yake ni ku tunza usafi wa sehemu hiyo.
Ila hayo maji unatakiwa kuyasafisha kila baada ya masaa kadhaa
ndio maana wana recommend kuoga at listi mara mbili kwa siku .
Harufu inatoka na hayo maji kama hayajaoshwa.
Ila mdomo umejaa bacteria kuliko kiti cha choo...

Jaribu ku google..
utapata majibu zaidi mkuu.

Nasikia maji ya moto is not recommended kwa kuoga kwa mabinti...ni kweli hapo?
 
wao,
Okay nijuavyo mimi ni kwamba
kule chini kuna maji "yanayotoka ukeni"
Na hayo maji kazi yake ni ku tunza usafi wa sehemu hiyo.
Ila hayo maji unatakiwa kuyasafisha kila baada ya masaa kadhaa
ndio maana wana recommend kuoga at listi mara mbili kwa siku .
Harufu inatoka na hayo maji kama hayajaoshwa.
Ila mdomo umejaa bacteria kuliko kiti cha choo...

Jaribu ku google..
utapata majibu zaidi mkuu.

Yes, but comparatively less than in the white house!!
 
Wacheza mpira, hasa huku uswahilini wanahusika sana hapo kwenye socks...zinatema mbaya, bora hata kinywa!!

Usiwaonee wachezaji bwana..Hebu ongeza uchunguzi wako..Utashangaa kwamba wanaume walio wengi wako mahututi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom