50% ya Watanzania wananuka midomo!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.

Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)


Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!


 
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.Source: Gazeti la Mwananchi.My Take:Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!MziziMkavu toa maoni yako!!
kwaiyo hao wana jf ulowataja ndo wananuka midomo au?
 
FirstLady...hembu fikiria kwa mbali kidogo...yale mate wabongo wananyonyana ndimi daily kisa eti mapenzi yamekolea, aka denda, aka nyama kwa nyama...hii ni zaidi ya hatari, au we unaonaje??
 
hiyo research waliconduct vipi? Kwa kunusa midomo ya watu, kula denda au

Hahaaa...Lol, very nice quest, bt am not responsible kulijibu!! Manake sijajua bado how they come to conclusion like this!!! Hahaaaa
 
Nina wasiwasi na dawa za meno tunazozitumia nyingi aziui vijidudu vinavysababisha kualibika kwa meno na baadae meno yaliyoaribika kutoa harufu mbaya,recommendetion from doctors ni colgate
 
I'm responsible for what I say, I'm not responsible for what you understand!! Hao nniliowataja najua michango yao ni muhimu sana kwenye hii mada kwa kutuelimisha zaidi....Smile vp bana?? umeamkia kaunta ya juu nini?? Na ww pia nimekutaja, I like ur Swaga!!
okee nimekusoma mchango wangu ni huu watanzania wengi wanaamini kusafisha mdomo ni asubuhi tu basi ,mtu anakula mazagazaga yake huko siku nzima asafishi kinywa hadi asubui ifike unategemea nini mkuu?pia hatuna desturi ya kuwaona dentist mara kwa marani vema watu wawe wanasafisha kinywa marakwamara baada ya kula sio lazima uswaki kuna dawa za kusukutua tu zinaacha mdom o murua
 
Hivi kule vijijini wanatumia dawa za meno kweli. Naona ni kama miswaki ya vijiti zaidi. Lakini afya ya kinywa ni zaidi ya kupiga mswaki, si watu wengi wana utaratibu wa kuonana na daktari wa meno kwa minajili ya kuangaliwa afya ya meno.
 
We mleta mada kama unafikiri kuwa mdomo wangu unanuka basi utakuwa umekosea sana. Mimi ni mtu wa afya na huwa ninapiga mswaki mara sita kwa siku pia huwa napenda kula pipi kifua ambazo kwa kiasi kikubwa hunisaidia kuondokana na harufu mbaya mdomoni. Sina uhakika kwa hao wengine uliowataja hapo chini.
 
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.

Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)


Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!



Uko sahihi sana,

Hili ni tatizo kubwa kwa watu walio wengi. Mimi mwenyewe hunitokea mara nyingi lakini nimebahatika kujua hivyo na kwa hiyo huwa nachukua hatua.

Halafu kwa bahati mbaya, watu wengi wanaonuka mdomo ni wanaume.......!!!!!
 

I'm responsible for what I say, I'm not responsible for what you understand!!


Hao nniliowataja najua michango yao ni muhimu sana kwenye hii mada kwa kutuelimisha zaidi....Smile vp bana?? umeamkia kaunta ya juu nini?? Na ww pia nimekutaja, I like ur Swaga!!
mzima weye? Naona umeshaanza kuichakachua sredi yako mwenyewe!
Mi hili janga limenipitia mbali kodogo aisee..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom