antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,767
- 130,692
Msamehe (huyo bi mkubwa) ili ufanikiwe zaidiNilipokua
Nilipokua kwenye huo umri,mipango ikavurugika,nikarudi home,wa kwanza kunionesha dharau ni bi mkubwa,akawafundisha na watoto wa wadogo zangu pale home kunidharau,hakutosheka..akawa ananijengea dharau kwa watu mitaani,usiombe huo msongo wa mawazo,nikaanza kubeti nipate hela niondoke,mungu siyo benard Morrison network yangu ikalipa,kwa Sasa Nina kipato kuliko kunguni yoyote kwenye ukoo, na huwa sijui Cha kumfanya no mkubwa..Ila bado Nina grudge nae
Thanks boss, kuna watu wako very sensitive, wana over raeact na kila jambo pasipo kuelewa.Ni mwongozo tu na maoni, ukisoma hivi unaangalia ni wapi ulipo kuyokana na maoni yake, nini ufanye kama hujafanya ili walau ufike stage fulani katika maisha.
Ni kweli maisha hayana kanuni, lakini kuna namna ukienda tofauti utajishangaa mwenyewe badae.
Ni vizuri kukumbushana.
Maisha hayana formula kabisa,kuna mtu kapata mafanikio kwenye 25 to 40 kafa au kafilisika,kuna mtu kapata mafanikio kwenye 40 na bado hadi leo yupo anakula maisha! Siku unakufa ndiyo siku yako ya mwisho hapa duniani,pambanaHakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.
Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.
Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.
Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.
Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.
Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late
Karibuni.
HOW TO COPE UP WITH MID LIFE CRISIS:
Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.

Dah ngoja niwatie stress mimi nilianza kujenga nikiwa na miaka 23.Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.
Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.
Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.
Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.
Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.
Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late
Karibuni.
HOW TO COPE UP WITH MID LIFE CRISIS:
Una simu na una app ya JF.
Kabisa Mkuu,ndio umri wa magonjwa huo 50,pesa isipokuwepo ni tabu sanaSure tupambane na tusave b4 40s, ili ikifika hizo 40s na 50s, tusiishi kwa pressure saaana
Mungu hawezi ninyima mafanikio Lisa hazipandi na bi mkubwaMsamehe (huyo bi mkubwa) ili ufanikiwe zaidi
Kuna kipindi unahitaji watu wako wa krb wakutie moyo...lkn ndio hao wanakutoa thamani na kukunyanyasa kisaikolojia...inauma sana..binadamu tumeumbwa kukumbuka...anakumbuka mateso yale na anakosa jina la kuwapa...anapunguza machungu tu.Kwahiyo unaita ndugu zako kunguniwakati hao ndio wataandaa ratiba za kukuchimbia ft 6 kwenda chini
Lakini mkuu hivi vimalengo sio muhimu kwani?Formula ya dunia inatutesa sana! Kwamba ukifika umti fulani inabidi uweje...
Tungekua tunajitengenezea formula zetu maisha yangekua fresh tu.....
Kwa dunia yetu hii umri ukianza kusogea tunatengeza hofu kuliko malengo yetu !
Anewei ngoja tufike uko tujue kama tunazika au tunasafirisha
I wonderLakini mkuu hivi vimalengo sio muhimu kwani?
Kwamba unaweza kujikuta unaungua mara mbili Kama mkaa(porini na nyumbani, duniani na mbinguni).Noted , muhimu sana kuangalia maisha baada ya kifo maana starehe za dunia ni udanganyifu mtu unaweza kuwa na pesa lakini ukawa na stress za kuchapiwa na kukosa amani.
Kuna mwehu humu aliwahi kukomenti eti "Mwenyezi Mungu siku ya kiama awapunguzie adhabu ya motoni na kuwaonea huruma wale walioishi Tanzania maana ugumu wake ni sawaa na kuishi motoni"sasa just imagine umeishi Tz kea kupigika kisha ukaishi kama hautofufuliwa tena kisha hatima yako iwe motoni unakuwa umepigika kote kote bora kuweka na kwengine tupate kusalimia.
Usitishe watu. Kila jambo na wakati wake. Kila mtu mafanikio atayafikia kwa muda wake. Riziki haina umri.Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.