Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa
Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus

"This is symbol of excellence "