3 Bedroom House, toa changamoto!

3 Bedroom House, toa changamoto!

Choo cha public kipo mbali sana. Jaribu hapo kwenye hicho chumba ambacho ni self contained, hicho choo chake ndio kiwe public halafu self contained room kiwe kile kingine huko mwishoni.

Halafu sijaona sababu ya kuweka mlango hapo ulipopaita walkway.

Halafu chora kwenye hiyo AutoCAD kabisa kwa sababu hapo umechora kwa mkono unaweza ukaona spaces zimekaa vizuri ila ukishaweka huo mchoro kwenye hiyo program ya kuchora mara nyingi huwa haitokei kama ulivyochora kwa mkono.

# they are just my opinions mkuu. Kila la heri
 
Asante kwa maoni yako mkuu. Ngoja aiweke kwa autocad then nitaileta.
 
Okay, hem shauri hapo iwekwe vipi hiyo closet mkuu.
1653663588924.png
 
Uko sahihi 100% mkuu, siku hizi naona watu hawapendi corridors sana ili kupunguza ukubwa wa nyumba. Mimi naona corridors ni muhimu, yaani nyumba ikikosa corridors naona haina space. Ushawahi kuiobserve hii kitu?
Mimi ni mmoja wa wasiopenda corridor nyingi.
 
Hivi kuna shida vyumba vyote kua master? Nilikua nafanya kazi ya kutengeneza domes kwa mhindi fulani nikakuta nyumba ya vyumba vinne vyote ni master. Vina closet, ukubwa sawa na bafu na choo. Kisha kuna bafu na choo kwa ambaye atakua sebuleni.

Sijakutana na nyumba nyingine ya hivyo. Kuna shida kifundi?
Hamna tabu yoyote, wengine tunabana matumizi tu
 
Labda kwa vile haipo kwa mchoro rasmi, ila walk-in-closet nyingi mtu anatoka chumbani anapita kwa wardrobe anaenda zake washroom
Huyo katoa walk-in closet kakuwekea kabati!
 
Labda kwa vile haipo kwa mchoro rasmi, ila walk-in-closet nyingi mtu anatoka chumbani anapita kwa wardrobe anaenda zake washroom
Bad design.
Imetoka kukataa gogo halafu unapita katikati ya nguo safi .
Design ya kihindi.
 
Mkuu siku hizi chooni sio sehemu chafu kama zamani!😀😀

Anyway, your inputs are highly appreciated mkuu.
 
Kama ni Dar, angalau room iwe na madirisha mawili na kuendelea kutokana na joto na diririsha liwe na 3m na kendelea, chumba cha kulala master bedroom kiwe na 4x3m na kuendelea kusudi ya hewa na kabati la nguo,
Master bedroom ianzie 4x4m iwe na sehem mtu anaweza kukaa kama akija mgeni kumsalimia mama aliejifungua, sehem ndogo ya viti viwili
Jiko liwe kubwa ndio sehem ya mwanamke kujidai, nadhani store haina umuhimu sana maana makabati ya jikoni ni store tosha,
Sebule ambayo ndio uwanja wa mwanaume uwe mkubwa angalau 5x4.
Unaelezea 100% kama alivyo ni designia nyumba Mke wangu.
👏👏👏
 
Hivi kuna shida vyumba vyote kua master? Nilikua nafanya kazi ya kutengeneza domes kwa mhindi fulani nikakuta nyumba ya vyumba vinne vyote ni master. Vina closet, ukubwa sawa na bafu na choo. Kisha kuna bafu na choo kwa ambaye atakua sebuleni.

Sijakutana na nyumba nyingine ya hivyo. Kuna shida kifundi?
Kuna sehemu nako hivyo hivyo, kila chumba ni master.
 
Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..View attachment 2240747
Ondoa ukuta wote ndani ya living room, ondoa ukuta unaogawa living room na kitchen badala yake weka wooden frame tuili iwe open dinning and kitchen its more fashionable and less expensive .ondoa mlango kwenye kolido its not needed.
 
Kama ni Dar, angalau room iwe na madirisha mawili na kuendelea kutokana na joto na diririsha liwe na 3m na kendelea, chumba cha kulala master bedroom kiwe na 4x3m na kuendelea kusudi ya hewa na kabati la nguo,
Master bedroom ianzie 4x4m iwe na sehem mtu anaweza kukaa kama akija mgeni kumsalimia mama aliejifungua, sehem ndogo ya viti viwili
Jiko liwe kubwa ndio sehem ya mwanamke kujidai, nadhani store haina umuhimu sana maana makabati ya jikoni ni store tosha,
Sebule ambayo ndio uwanja wa mwanaume uwe mkubwa angalau 5x4.
Kuna vitu kama kiroba cha unga, maharage, sukari, mkungu wa ndizi, mafuta ya kupikia hizo huwekwa hapo store for easy accessibility.
 
Yeah, kwangu store ya ndani ni lazima. Hata kama nitakuwa na store ya nje...kuwa na store ndani kwa ajili ya vitu vya ndani ni muhimu.
 
Back
Top Bottom