Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
KichangaZamani hadi boma walijenga kwa mawe. Huko kwenu kuna udongo wa aina gani, kichanga, tifutifu au mfinyanzi?
Ardhi ya hapo una mawe mengi chini pagumu balaaa
KichangaZamani hadi boma walijenga kwa mawe. Huko kwenu kuna udongo wa aina gani, kichanga, tifutifu au mfinyanzi?
SawaMawe ni ujenzi uliozoekeka enzi na enzi lkn mawe yanafaa zaidi kwa floor na sio msingi.
Japo ukipata mjenzi mzuri haina tatizo
Kama utashindwa kuweka vipimo, nina software ya kuweka vipimo automatic kutokana na size ya nyumba unayotaka 😅😅😅😅😅😅Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..View attachment 2240747
GharamaHivi kuna shida vyumba vyote kua master? Nilikua nafanya kazi ya kutengeneza domes kwa mhindi fulani nikakuta nyumba ya vyumba vinne vyote ni master. Vina closet, ukubwa sawa na bafu na choo. Kisha kuna bafu na choo kwa ambaye atakua sebuleni.
Sijakutana na nyumba nyingine ya hivyo. Kuna shida kifundi?
Mdau hii software inaitwaje?Kama utashindwa kuweka vipimo, nina software ya kuweka vipimo automatic kutokana na size ya nyumba unayotaka![]()



Tubajifunza wote mkuu, its okay kuiweka hapa ili tuzidi kujifunza.Nimejaribu na mimi kwa kutumia archicad, mnaweza toa maoni pia.
Samahani mwanzilishi mada kwa kuvamiaView attachment 2272073
Mdau hii ndio inanipatia chakula sasa nikiiweka hadharani si nitakosa ubwabwa wangu. 😅😅😅😅😅Mdau hii software inaitwaje?
1. Prayer room ndogo sana kama storeNimejaribu na mimi kwa kutumia archicad, mnaweza toa maoni pia.
Samahani mwanzilishi mada kwa kuvamiaView attachment 2272073

Hili la public toilet safi sana, ni wazo zuri. Ila prayer room ni kukosekana kwa nafasi ya kutosha1. Prayer room ndogo sana kama store
2. Public toilet iko mbali sana na lounge
Mdau hii ndio inanipatia chakula sasa nikiiweka hadharani si nitakosa ubwabwa wangu.![]()




Noted, ngoja nione tunaiwekaje sawa.Tubajifunza wote mkuu, its okay kuiweka hapa ili tuzidi kujifunza.
Mimi naiona iko poa, mpangilio mzuri..naona kosa moja tu la kutoweka washroom ya wapitanjia, nimeona public toilet lakini ipo mbali mno kwa mgeni wa kuja na kutoka...unless kama utajenga washroom ya nje.
Binafsi nimeona weka public toilet na bafu viwe separate. Kuna siku mtu atakuwa anaoga na mwingine anaharisha shughuri itakuwa kubwa hapoKabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..View attachment 2240747
Mgeni ili afike chooni anazunguka sehemu mpaka almost chumbani ambako ni private spaceHili la public toilet safi sana, ni wazo zuri. Ila prayer room ni kukosekana kwa nafasi ya kutosha
Hapa vipi sahivi?Tubajifunza wote mkuu, its okay kuiweka hapa ili tuzidi kujifunza.
Mimi naiona iko poa, mpangilio mzuri..naona kosa moja tu la kutoweka washroom ya wapitanjia, nimeona public toilet lakini ipo mbali mno kwa mgeni wa kuja na kutoka...unless kama utajenga washroom ya nje.
Iko poa mkuuHapa vipi sahivi?View attachment 2274900
Positive criticism ndio nilitaka mkuu, ukisema hamna ramani toa opinion yako. Huwezi jua utaalam wangu ni nini mkuu. Nilitaka insights za watu.Hakuna ramani hapo ni uchafu tuu.
Ramani ya nyumba kubwa peleka wazo kwa wataalamu wakuchoree usiingilie fani za watu kabisa.
Ana mantikiNimeanza kucheka kwanza....kuna mtu atasema 'chumba cha watoto wa kiume na kike visipakane na chumba chako kisitazamane na vyumba vya watoto' nawaza kwa sauti tu!
Toa store hiyo iongezee dining dirisha lingineKabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..
View attachment 2240747