Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,081
- 72,481
Hahaha, zile setup za zamani. Milango yote inaanzia sitting room. Amezingua sana!
[emoji23][emoji23]
Hahaha, zile setup za zamani. Milango yote inaanzia sitting room. Amezingua sana!
Kama msingi ni wa mawe je?matofali je hayo hayo 4000Inategemea na landscape hasa kwenye msingi. Ila 4,000 hivi.
Good analysis. Nimependa mchanganuo huu, na imenipa mawazo mazuriViwanja vingi vya mjini Ni 20/15.
Kuna sehemu aliweka kipimo Cha chumba kimoja kua ni 3.5mita, almost futi 12.
Ukingalia
mapana yake anajumla vyumba Kama vinne, ambapo jumla Ni futi 48. Almost mita16 mapana.
Ukiacha mita 1 ya ujirani mwema kila upande, jumla ni mita 18. Na hapo bado hajaacha mita 2 kila upande za kujengea fensi
NB: hapa Imezingatiwa hajapakana na barabara yoyote Ile pembeni anapotakiwa kuacha mita 3 barabara ya TARURA au mita 5 za barabara za tanroad.
NB: kwa nyumba Hii ili kujenga fensi pembeni Lazima awe na mapana ya kuanzia mita 22 nakuendelea.
Ukienda kwa marefu,
Makadirio ni marefu ya vyumba vitatu vya futi 12 kila kimoja, ambapo jumla Ni futi 36.ambayo ni sawa na mita 12.
Ukiacha mita 1 ya ujirani mwema kila upande, jumla mita 14. Na hapo bado hajaacha mita 2 kila upande ili kujenga fensi. Ambapo Itakua jumla mita 18.
NB:
1. hapa Imezingatiwa hajapakana na barabara yoyote Ile pembeni anapotakiwa kuacha mita 3 barabara ya TARURA au mita 5 za barabara za tanroad.
2. kwa nyumba Hii ili kujenga fensi mbele na nyuma, Lazima awe na marefu ya kuanzia mita 18 nakuendelea.
Hitimisho,
[emoji117]Kwa kujibana bana Sana,
Unaona kabisa anahitaji kiwanja Cha mapana 22 na marefu 18,
Na hapo imezingatiwa Yuko landlocked, hajapakana na barabara yoyote Ile.
Ili nyumba hii ikae vizur,
Tena iwe na barabara ya kuingilia gari mpaka nyumbani na Apate parking na sehemu angalau ya kufua,kuanika nguo, watoto kucheza.
Ni Lazima marefu yaongezeke kufikia angalau mita 30 na mapana yawe mita 25.
Na hiki kwa mjini,
Kukipata sio kiwanja kidogo Wala Cha pesa ndogo mkuu.[emoji120]
Rafiki yangu ERoni hebu weka vipimo vyote kila chumba na upana na urefu wa nyumba nikufanyie marekebisho machache niliyoyaona kuanzia store na walk away kakaKabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..[emoji116]View attachment 2240747
Sawa,hivi msingi wa mawe na wa tofali upo mzuri?Kama msingi ni wa mawe basi a day walau 2,500 kwa ajili ya boma mama.
Msingi bora ni wa tofali mama.Sawa,hivi msingi wa mawe na wa tofali upo mzuri?
Ahaaa sawaMsingi bora ni wa tofali mama.
Mawe ni ujenzi wa kienyeji
Eee mi nimejenga msingi wa maweMsingi wa mawe ukipata mtaalam wa kuyapanga na kuyaweka vizuri naamini ni imara zaidi. Muhimu anayejenga huo msingi awe vizuri. Huko kwenu mwanza si mawe kama yote.
Mawe ni ujenzi uliozoeleka enzi na enzi lkn mawe yanafaa zaidi kwa floor na sio msingi.Eee mi nimejenga msingi wa mawe
Yapo mengi sana
Naipata sana lkn siipendelei mkuuGood, hiyo ndio spirit mzee! Kwa autocad ushajaribu?
Swali zuri sanaZamani hadi boma walijenga kwa mawe. Huko kwenu kuna udongo wa aina gani, kichanga, tifutifu au mfinyanzi?