Naipenda ile jack yupo china kafichwa kwa miaka miwili hajazungumza lolote pamoja na kupewa kipondo kila day,,,baadae wanafanya mabadilishano baada ya mambo kuwaendea magumu wanamwita jack aje alisababishe,,,yes inaitwa live for nothing or die for something..kama sijakosea... Acha ile kitu bhana yaan 24 ni sawa na mess kila siku wanamfananisha mara pele,mara maradona,mara cjui nani,,, KWA HESHIMA NA TAADHIMA, HAKUNA KAMA 24 KWA KARNE ILIYOANZA 2000 MPKA LEO HII,,,BADO SANA WA KUIFUNIKA ILE KITU[/]