24 series na prison break ipi kali?

24 series na prison break ipi kali?

Homeland mpango mzima hao wengine wanafuata
 
Duh! Mlivyoisifia hiyo 24, acha nianze kuitazama labda naweza kuikubali ingawa nilikuwa naiman hakuna series itakuwa kali ya kizungu kama Prison break
 
Nijulishe na bei nikufuate fasta
Mm hata siuzi. Sema kwa sasa siko Dar nipo Moro. Kuna mtu namuulizia kama Bado anayo kwenye PC yake nikuunganishe nae. Its free of charge. Masuala ya kuuziana sio. Ila kwake nadhani itakua inaishia season 8 au 9 but utakuwa umesogea Sana na utakua umepata hizo.

Ila usiende na flash Bali beba external kabisa maana mzigo una Kama GB 27 unless uwe na flash ya GB 30+
 
Mbona nitakushukuru saana..hiyo 24 ilikwisha nifanya nikakesha kama mara mbili hivi
 
Back
Top Bottom