Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,362
- 10,420
Tuzo tatu za motoHuyo Mbappé ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophyless
Tuzo tatu za motoHuyo Mbappé ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophyless
Hii kujipa moyo sasa 😹Gen Z wa Barça kaifanya Spain ichukue ubingwa. Hii ni shangwe kwa mashabiki wa Messi na Barça
Yamal katangulia kubeba WC kabla ya Ronaldo
Wachezaji 8 wa Barça waliokuwa kenye kikosi cha Spain wamebeba WC
Visca el Barça i Visca Catalunya!
Wamefika kihuni huni tu na uhuni wao umewagharimu leo nafikiri umeona tena na Paredes angekula moto na yeye.Mbona wamefika fainali kama hawachezi mpira ?..
Tulia wewe usiniharibie sherehe.Tupe na za wachezaji wa Barcelona leo
Easiest bracket, mechi ngumu ya Kwanza Ya Argentina ni nusu fainali, hawajakutana na mkubwa yoyote kabla ya hapo.Mbona wamefika fainali kama hawachezi mpira ?..
Tupe vigezo vyakoMbappe au Kane.
Uchawi??Teh teh 😃 😃 .... Uchawi huu
Aaaa wapi.Hii game tuone matuta tu. Itakuwa imebalance kabisa
..una maana gnYamal Worldcup 1
Mbappe 1
Messi 1
Rodri 1
2013 Ronaldo alibeba makombe mangapi ?Huyo Mbappé ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophyless
Refarii kimeoNgoja VAR iamue
Kila mchezaji mkubwa duniani ana kombe la dunia kuanzia akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldo OG, Messi n.kHii kujipa moyo sasa 😹
Hapo mashabiki wa andunje wanafurahi vipi wakati mbuzi wao kanyolewa ndevu?
Mumkande🤣🤣🤣🤣🤣Refa bora ungewapa hili goal wasijesema tumebebwa na FIFA ili tuwakande vzr.
Mbuzi Messi alishashinda Kila kitu hana alichobakiza.Nilisema mimi Janjajanja zina mwisho😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2022 mmeshinda Kwa Janja
Mbeleko ishachanika Ile😹😹😹😹