2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mkiambiwa huu ni ulimwengu wa Gen Z muwe mnaelewa team andunje 😹

Bado CCM nao ipo siku wataachia chuma zitafungwa..!! 😹
Gen Z wa Barça kaifanya Spain ichukue ubingwa. Hii ni shangwe kwa mashabiki wa Messi na Barça

Yamal katangulia kubeba WC kabla ya Ronaldo

Wachezaji 8 wa Barça waliokuwa kenye kikosi cha Spain wamebeba WC

Visca el Barça i Visca Catalunya!
 
Stats za Messi

Screenshot_20260720-011348.png
 
Gen Z wa Barça kaifanya Spain ichukue ubingwa. Hii ni shangwe kwa mashabiki wa Messi na Barça

Yamal katangulia kubeba WC kabla ya Ronaldo

Wachezaji 8 wa Barça waliokuwa kenye kikosi cha Spain wamebeba WC

Visca el Barça i Visca Catalunya!
ila fresh ronado anarudi tena 2030 akiwa na miaka 45 lazima abebe kombe
 
Hamna ubishi spain ameatahili hii ndooo best team without a shadow of a doubt. Defense wins championships.

Ila jamani kuna somo hapa afcon watu walilalamika morocco anabe wa ndoo ikasepa
Huku world cup lawama argentina anabebwa ndoo imesepa. Timu nzuri hainaga longolongo wakuu wao wanapiga fabo tuu.

Haya tusubirie premier league sasa na sinema zetu za mpira wetu kivyetu vyetu
 
Back
Top Bottom