joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,427
- 41,579
Kumbi la dunia lijao linafanyika nchi tatu Spain ikiwa moja wapo, Spain anaweza kuchukua back to back maana timu yake inavijana wengi sana.
Ni kweli…tusiokuwa na timu tumeinjoi mno kombe la dunia hii
Hata hizo 6.8 wamempa.The world will never forget how Cucurella pocketed Messi in the World Cup final View attachment 3633080
Wana kizazi bora sana cha Mpira wa miguu kwa Sasa (kama cha mwaka 2010)...Wana rekodi moja kali sana kwenye kuzuia. Nakumbuka mechi yao ya kwanza wanashambulia vibaya wameenda na utaratibu wao huo wa ushindi mwembamba na kutofungwa.
Lile la 2022Mbuzi Messi alishashinda Kila kitu hana alichobakiza.
Hii ilikuwa ni nyongeza tu..,.
Wachezaji waliopata kombe..una maana gn
Mimi sio team Ronaldo nilikuwa zangu kwa ufaransa na Spain, kwa mbappe na Yamal hiyo labda uwaulize wenye chezaji lao.. 😹😹Kila mchezaji mkubwa duniani ana kombe la dunia kuanzia akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldo OG, Messi n.k
Tuwekee picha ya Penaldo akiwa na kombe la dunia hapa.
KabisaHata hizo 6.8 wamempa.
45? Atafika hana shati mkuu2030 anarudi akiwa na miaka 45 lazima abebe
Muda wote Argentina wamekaa golini kwao wanatafuta nafasi ya kufanya counter attack na wasipateFainali ilikuwa France vs Spain , sijawahi ona fainali mbovu kama hii
..ww ndio binti msumi wa uzi huuThe world will never forget how Cucurella pocketed Messi in the World Cup final View attachment 3633080
🤣🤣 Sasa si lazima amlipe Messi au45? Atafika hana shati mkuu