2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Bora yetu sisi mashabiki tuliokuwa tunahama hama timu maana tumemaliza vizuri kuliko hao wengine wanaomaliza vibaya
 
Taratibu muonekano wa Messi tuliouzoea, leo umeonekana.


 
Uwanja ulikuwa umeinama toka dakika ya kwanza.

Haya machezaji ya America kusini majinga sana yanapaswa ku focus kucheza mpira sio miili ya timu pinzani
 
1000870270.jpg
 
Back
Top Bottom