2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Beautiful!

Ghetto kids wamewakilisha vizuri sana.

Waendelee tu kupata mafanikio.

Shakira alifanya vyema sana kuwaomba waje watumbuize naye.

IMG_0278.png
 
Huyo dogo ana balaa

Hakucheza hivyo alipokutana na Ronaldo

Dogo anaoenekana kumuheshimu sana Ronaldo kuliko Messi

Ni kama ana hasira binafsi huwenda kile kipindi Messi anamuogesha kwenye beseni inaonekana alitumia sabuni ya magadi.

Na hicho kitu dogo ni kama hakupenda , Messi alijua dogo hajui kumbe dogo aliweka kifuani tangu siku ile ili aje alipe leo.
Dogo anajua mwamba ni Ronaldo
 
Ukitaka uone udhaifu wa argentina omba spain apate gori alafu uone msako utakaopigwa.....timu penadol acheni makasiriko Argentina ni timu strong sana
Ubora wa Argentina unaonekana zaidi zile nyakati ambazo mpinzani amekuwa dhaifu au mzembe.

Hakuna mechi ambayo Argentina kashinda akiwa bora na mpinzani akiwa bora na kwamba matokeo yaliamuliwa kwa ubora zaidi.

Mfano saizi tunavyiona hii domination kwa Spain ndio tulichokiona kwa England.

England alifanya uzembe kupaki basi baada ya kupata goli hapo ndio waliporuhusu mashambulizi makali.

Spain nao wakipita njia hizo hizo siwezi kushangaa wakifungwa.
 
Back
Top Bottom