DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,992
- 11,530
Hawa Spain wameshika game lakini hawako clinical hapo mbele wanarembaremba tu, ngoja Argentina tupate nafasi walau mbili tuwagonge nyingi.
Sawa filimbi ya mwisho itaamuaKujipa matumaini sio mbaya 😹
Na kimessi kimeminywa mbupu hata sijakasikiaArgentina had sasa halftime no shoot on target or off target
Mbele ya taji la Dunia hata mwano unamkanaWashabiki wa messi leo mpo against na mtoto wenu mliomlea wenyewe
Mbona kinyonge sasa 😹Sawa filimbi ya mwisho itaamua
Ni kama kawachukua msukule, ni kama wafuasi wa mwamposaWafuasi wake watasema siyo lazima ufike final ili uwe legend 😂
45min ?Leo mapumziko dakika 45 mpaka watu waimbe nyimbo zao wamalize, ila marekani 👆😂
Sijajua wametumia kigezo gani!!!Mapumziko dakika 30 duh Leo tunakesha Tena😀😀😀
Leo kama vile hayupo, hali ni tete, Lisandro naye kaona tabu ya nini nisije kupata red bure kaingia mitiniNa kimessi kimeminywa mbupu hata sijakasikia
Huyo dogo ana balaaGenZ Yamal ana jambo lake 🔥🔥🔥
Sio kinyonge namuheshimu Messi japo sio shabiki wa Argentina katika haya mashindano bali SpainMbona kinyonge sasa 😹
Tema mate tuwachape Gen Z
Haipo iliyo kaa vibaya, ila kwa upande huu hii imekaa poa sana 😀Ni ipi hiyo imekaa vibaya 😎
😂😂Sawa tunajua Argentina wanaanza kucheza kuanzia dk 75.Argentina wanausoma mchezo bado,
Msiwe na pressure.
Daah mkuu humkubali Messi kabisaHuyo dogo ana balaa
Hakucheza hivyo alipokutana na Ronaldo
Dogo anaoenekana kumuheshimu sana Ronaldo kuliko Messi
Ni kama ana hasira binafsi huwenda kile kipindi Messi anamuogesha kwenye beseni inaonekana alitumia sabuni ya magadi.
Na hicho kitu dogo ni kama hakupenda , Messi alijua dogo hajui kumbe dogo aliweka kifuani tangu siku ile ili aje alipe leo.