The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,905
- 120,848
Lamine Yamal.
Ana goli 1 tu mpaka sasa.Atapata goli
Sasa dk za kwanza tu umesha ona wavamizi wa mpira bhanaHivi ni mimi tu naiona hii mechi kama sio fainal vile imekaa kienyeji enyeji tu
Kakosa nafasi dogo huyuAtapata goli