moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,693
- 776,768
😂😂Sawa tunajua Argentina wanaanza kucheza kuanzia dk 75.Argentina wanausoma mchezo bado,
Msiwe na pressure.
Hatuna presha bro😂
😂😂Sawa tunajua Argentina wanaanza kucheza kuanzia dk 75.Argentina wanausoma mchezo bado,
Msiwe na pressure.
Daah mkuu humkubali Messi kabisaHuyo dogo ana balaa
Hakucheza hivyo alipokutana na Ronaldo
Dogo anaoenekana kumuheshimu sana Ronaldo kuliko Messi
Ni kama ana hasira binafsi huwenda kile kipindi Messi anamuogesha kwenye beseni inaonekana alitumia sabuni ya magadi.
Na hicho kitu dogo ni kama hakupenda , Messi alijua dogo hajui kumbe dogo aliweka kifuani tangu siku ile ili aje alipe leo.
😀😀 kwamba Shakira kacheza kuliko RonaldoShakira yupo anatumbuiza live 🔥 🔥 🔥 🔥
Shakira wc final appearance 3
Cristiano wc final appearance 0
Lisandro jau kweli na mimi nimeona kaamua kukwepa aibu bora ajifanye kaumia.. 😹Leo kama vile hayupo, hali ni tete, Lisandro naye kaona tabu ya nini nisije kupata red bure kaingia mitini
Ndio kaonekana kwenye fainal za wc nying kuliko ronado, siunaona hapo ?😀😀 kwamba Shakira kacheza kuliko Ronaldo
Sawa Twin 😂Haipo iliyo kaa vibaya, ila kwa upande huu hii imekaa poa sana 😀
Anacheza kamzidi hadi Messi 😹Shakira ni mtihani
Sasa si wanatumia make up Mzee?!!!Shakira yupo anatumbuiza live 🔥 🔥 🔥 🔥
Shakira wc final appearance 3
Cristiano wc final appearance 0
Kaona red haipo mbali kaona isiwe kesiLisandro jau kweli na mimi nimeona kaamua kukwepa aibu bora ajifanye kaumia.. 😹
Kwavile spain nao hawajui kuusoma mchezo ??? 😄😄😂😂Sawa tunajua Argentina wanaanza kucheza kuanzia dk 75.
Hatuna presha bro😂
Babu wa Kireno ni legend tayari 😂Naomba Argentina ifungwe ili na mashabiki wa kireno wapate faraja mana mtu wao anastaafu bila hata fainal ya wc
Hizi spana zako kwa messi nazikubali [emoji28]Anacheza kamzidi hadi Messi [emoji81]