Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,092
- 15,514
Wanataka magoli ya kibishoo!!!Waispain wanapiga kama walevi miguu yao haina nguvu ?
Wanataka magoli ya kibishoo!!!Waispain wanapiga kama walevi miguu yao haina nguvu ?
Let's go 🔥
Spain ni kama vile wanawamudu Argetina...
Kwenye matuta Spain hawezi kuifunga ArgentinaSpain wafanye wafanyavyo wamalize mechi ndani ya dk tisini au mia ishirini. Ila matuta Argentina anachukua,kwenye hizi hatua Dibu hanaga masihala.
Nafasi wanapata ila sasa changamotoWanataka magoli ya kibishoo!!!
Yule jamaa kwenye mechi nne nilizo mshuduia kwenye matuta, tokea akiwa Arsenal penalty mbili zinakuwaga za kwake.Kwenye matuta Spain hawezi kuifunga Argentina
Wajinga sana hawa jamaa wanapaswa kucheza mpira mzuri sio drama zisizo na msingiSema wanetu wa Argentina wanapenda sana kununua ugomvi😃
MaminyooMi leo naangalia tu kiuno cha Shakira. Shakira akinipa haki ya nani sigusi tena mdada mwingine mpaka kifo.
SanaParedes fala sana