comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,492
- 17,406
Leo wengi wamekosa kichaka, maana yamal mwenye miaka 19 anaweza akabeba worldcup ambayo ronado ameshindwa kuibeba kwa miaka mingi mpaka sasa ameshazeekaWallah, loyalty yao imezidi kiwango, hata uwaletee takwimu wao wanaishia kukujibu na emoji za mbuzi tu 🐐😂