Akapumzike tu mechi imeshaishaUnamwona Decon Rice? Mwamba kachoka ndembendembe 😃😃😃
Kumbe ndo ulichokuwa unasubiriMbapeeeee
Mwanaume mashineeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa watarudisha zoteSana
England mumeshaharibu mood yanguUnangaa game inaisha 5-4
Namsubiri substitution za MwingerezaJamaa watarudisha zote
Sub ya Rashidi haikuwa ya kiufundi kuna gepu naliona.Zitakaa kiaskari sasa.
Hizo goli 2 ni call up kwao