2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1782459276933.png

Njia nyeupe kwa wamarekani kwenye 16 bora.
 
Tunisia bwana....sasa huku qualification hakuruhusu bao...kaenda kwa wanaojua boli watu wanajipigia tuu.
Wale wote walioshindwa kufunga dhidi ya tunisia huku africa wajitathmini vibaya mnooooo maana ni mkoromboko kweli kweli
wameshanganyikiwa.
 
 
It's official, France wanachukua kombe hakuna timu ya kuwazuia.

It's official, Ronaldo atastaafu bila kuwa na kombe la dunia
Mkuu kila mtu alikua anasema hivo hivo kuhusu Bayern mwaka huu, ila mm niliwabisha hawabebi uefa. Nakuambia hapa hafiki Final. Atabondwa na timu ya kawaida tu. Hua sishabikii kitu kinachopendwa na wengi ever!

Kwa hatua WC iliyofika now nabaki na timu mbili tu. Spain na Argentina naamini hawa wanaweza kufika mbali. Let see.....
 
Back
Top Bottom