2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wazee kwani mechi ilikuwaje mbona huku mtandaoni nakutana na vitu siyo kabisa?
1783844553197.png
 
Huyu Kocha wa Argentina anajua sana. Ila wamebebwa, kwa nini waliongezewa hizi dakika ili Swis afungwe.
Wamebebwaje wakati jamaa kaleta maigizo mbele ya VAR.Hebu kaangalie mechi ya Uruguay na US Almaron mchezaji wa Paraguay alidive,mchezaji wa US akapewa yellow, baadae refa akaitwa anaangalie VAR,baada ya kujiridhisha kamfutia kadi ya njano mchezaji wa uS na akampa Almaron Yellow card.
 
Nashindwa kuelewa..Nashindwa kuelewa ...Hawa spain & Argentina wanafanya kwenye hii world cup mpaka sasa
Hiii world cup imenikatili sana team zangu zote iliyojitahidi imeishia round of 16
Spain anatimu tena uwezo wa kuitoa Ufaransa anao, mpaka sasa hamna timu inayo miliki mpira kwa kiwango kikubwa kama Spain. Spain wamekosa number, kama angekuwa na striker level za akina David Vila, Torress au Morata France sizani kama angechomoka.
 
Ikumbukwe hii

Nusu Fainali

Spain v France

France anapita anaingia Final
....
Robo Fainali

Norway v England

England anapita
....
Argentina v Switzerland

Argentina anapita
....
Nusu Fainal

Argentina v England

Argentina anapita
....
Pay-off 3rd place

Spain v England

Winner: Spain
......
Final

Argentina v France

WC26 Winner: Argentina

Tunza kumbukumbu hii
Tunza hii kumbukumbu vizuri usiseme sikusema
 
Hivi kocha wa Argentina anashida na Giuliano Simeone,Giovani Lo Celso?
Kwanini kila siku De Paul anaanza ilhali anazidiwa kiwango na hao wamba?

#Hallelujah!!!
 
Katika michezo 9 ambayo mbappe kakutana na Yamal eithe club au taifa Mbappe kashinda mmoja tu. Hii ni mwaka jana tu hapo France walipigwa mpira hatari. History haiongopi. Kipimo sahihi cha France ni Spain
1000060309.png
 
Back
Top Bottom