2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mamchu namie jino lilikua linanisumbua .Ilifikia hatua nilikokua naenda hukohuko ningeenda hospitali kung'oa lilikua linauma kupita maelezo. Juzikati May nilikua nasafiri nkakutana na Hawa ma agent wa kutembeza dawa stendi kwenye magari nkasema wacha ninunue nkajaribu . Mpaka dakika hiii nikama limepona haliumi hata. Dawa haina hata jina imeandikwa tu:

Ukitumia dawa hii Hung'oi jino😊

Nilichukua namba yayule agent nivorudi nkanunua tena vichupa kama vinne vya akiba japo hata kichupa kimoja hakikuisha liliacha kuuma tangu ile may mpaka saii Tungekua karibu ningekupa ukatest

Cc Smart911
Jmn nopigie picha basi kipenzi nione hiko kichupa labda nitapata
Ngoja nije inbox
 
Haya mwanaume hapangiwi majukumu timu GOT leteni utetezi hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1783835450157.jpg
    FB_IMG_1783835450157.jpg
    51.6 KB · Views: 12
Ikumbukwe hii

Nusu Fainali

Spain v France

France anapita anaingia Final
....
Robo Fainali

Norway v England

England anapita
....
Argentina v Switzerland

Argentina anapita
....
Nusu Fainal

Argentina v England

Argentina anapita
....
Pay-off 3rd place

Spain v England

Winner: Spain
......
Final

Argentina v France

WC26 Winner: Argentina

Tunza kumbukumbu hii
Ngoja tusubiri, maana utabiri Wako unaanza kutimia
 
Umeanza kuandika utumbo, hizo nyaraka za siri ziko wapi wapi zimewekwa, wapi kasema hivyo
Sio nimeanza kuandika utumbo.

Sema nimeandika taarifa ambayo wewe ulikuwa huijui.

Ngoja nikufahamishe vizuri hapa.

Mwaka jana mamlaka za kisheria nchini Argentina, zikishirikiana na intelijensia kutoka Marekani, zilifanya upekuzi mkubwa kwenye makao makuu ya chama cha soka cha Argentina (AFA) na kutaifisha nyaraka za kibenki, mikataba ya siri, na kompyuta.

Hapa ndipo mikataba ya siri ya kampuni ya TourProdEnter LLC ya mamilioni ya dola ilipopatikana rasmi.

1783843123045.png



Hujaelewa na hapo?
 
Back
Top Bottom