Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,120
- 132,158
Swala la Argentina kubebwa lipo kibiashara zaidi.World cup ya mwaka hii ni script tu ambayo ilishapangwa. Hizi timu zikizocheza na argentina hata taifa staz tukizikamia tunaondoka na pointView attachment 3627666